[male vocals] Pongezi
kwa
walimu
wetu,
tulifika
mkatupokea
kwa
tabasamu,
mmetupa
dira
na
mwogozo
mzuri,
Mwalimu
mkuu
josephina
pamoja
na
kamati
yako
Amani,
kapigi,
ngindale,
issa,
kalima,
karani ,
kadonya
mwalwanda,
tabu
mayala
na
magembe
wote
kwaherini
daima.
ilikuwa
safari
ndefu
ya
milima
mabonde
na
miteremko,
sasa
tunaenda
duniani
kuipepweusha
bendera
ya
kazana
upate:
Wahitimu
wote
twende
tukapeperushe
bendera