[male
vocals] 1.
Basi
enendeni
mkawafanye
mataifa
yote
kuwa
wanafunzi,
mpendwa
mwenzangu
unawezaje
kutulia
ikiwa
Bwana
amekupa
agizo.
Mbingu
zinakuhitaji
upeleke
injili
kwa
watu
wote
waambie
Yesu
anakuja,
roho
za
watu
zikifa
pasipo
kumjua
Yesu,
utadaiwa.
Hebu
tumia
njia
hii
rahisi
wagawie
vitabu
wakasome,
vitabu
vitaweza
kufika
pale
ambapo
usingeweza
kufika
lakini
pia
vitabu
vitasema
kile
ambacho
huenda
usingeweza
kukisema.
Hapo
ulipo
haupo
kwa
bahati
mbaya,
Mungu
amekuweka
ili
uende
ukazae
matunda,
peleka
vitabu
nyumba
kwa
nyumba,
kila
ofisi,
maeneo
ambayo
hayajafikiwa
na
injili,
na
wengine
kwa
mali
zetu
tuunge
mkono
kazi
hii
kwa
kufadhili
vitabu
vya
kutosha
visambazwe
kama
miti
ipukutishavyo
majani
wakati
wa
vuli,
watu
wamuone
Yesu.
Mwisho
wa
safari
taji
zetu
zitang’
aa! 2.
Mpendwa
mshiriki,
habari
ya
kuongoa
roho
ifanye
kuwa
ajenda
yako
ya
kwanza
siku
zote,
kuna
wengi
mno
bado
wamo
gizani
na
kila
uchwao
wanafia
dhambini
pasipo
kumjua
yesu,
utadaiwa.
Unawezaje
kutulia
ikiwa
Bwana
amekupa
agizo.
Hebu
jitokeze
simama
kwa
nguvu
zako
maana
vitabu
havina
miguu,
kwa
muda
na
mali
zako
fanya
kitu
kwa
njia
ya
vitabu
tumuinue
Yesu
watu
wamuone
maishani
mwao.
Hapo
ulipo
haupo
kwa
bahati
mbaya,
Mungu
amekuweka
ili
uende
ukazae
matunda,
peleka
vitabu
nyumba
kwa
nyumba,
kila
ofisi,
maeneo
ambayo
hayajafikiwa
na
injili,
na
wengine
kwa
mali
zetu
tuunge
mkono
kazi
hii
kwa
kufadhili
vitabu
vya
kutosha
visambazwe
kama
miti
ipukutishavyo
majani
wakati
wa
vuli,
watu
wamuone
Yesu.
Mwisho
wa
safari
taji
zetu
zitang’
aa!