[male
vocals] (
Guitar
melodic
licks,
steady
bass
line)
Mungu
bariki
mtaa
wetu
Makongeni,
nyumba
ya
mashujaa
Tunakumbuka,
tunasherehekea
Ee,
Mungu
wa
baraka
Tuendelee
kueshimu
Baba
zetu
kutuleta
pamoja
Ma
budaa
zetu ,
yaani
faatheei
Mungu
aedelee
kuwapumuzisha
kokote
waliko.
Walitulatia
discipline
ya
Hali
ya
juu
Asanteni
Sana
Faadheei
na
Maadheeei
keakutu
lea
ookoongoo
Makongeni
ni
mtaa
wetu,
mtaa
unaitwa
Okongoo
Baba
zetu
walituleta
pamoja,
walijenga
msingi
Wazee
wa
reruu,
walifanya
kazi
idara
ya
reli
Walijitolea
maisha,
walitujengea
heshima
Tunakumbuka
maeneo
ya
Okongoo
kwa
upendo
Sauti
za
mtaani
zikilia,
furaha
ikitawala
Kila
kona
ilikuwa
na
simulizi
ya
ushindi
Umoja
wetu
ndio
nguvu
iliyotushikilia
Okongoo,
mtaa
wenye
historia
nzito
Baraka
za
Mungu
zishuke
kwenye
kila
nyumba
Tunainua
sauti
zetu,
tunashukuru
kwa
mema
Okongoo
daima,
mtaa
wa
upendo
na
umoja
Tunajivunia
asili
yetu,
tunajivunia
Makongeni
Watu
wa
Kajajuogi,
wapigeni
makofi
sasa
Wa
Kajanyuolo
muko
wapi?
Simameni
wima
Wasee
wa
gorofani,
yaani
Ogoroo
wako
wapi?
Tunakumbuka
nyumba
zetu,
kumbukumbu
zimejaa
Wasee
Mixi,
nyumba
za
mixi
pigeni
makofi
Okongoo
ilikuwa
maarufu
kwa
umoja
wa
kweli
Kikosi
cha
Ohaanga,
Ohaanga
waseme
yess
Tunashangilia
maisha,
tunashangilia
umoja
wetu
Okongoo,
mtaa
wenye
historia
nzito
Baraka
za
Mungu
zishuke
kwenye
kila
nyumba
Tunainua
sauti
zetu,
tunashukuru
kwa
mema
Okongoo
daima,
mtaa
wa
upendo
na
umoja
Tunajivunia
asili
yetu,
tunajivunia
Makongeni
Walioishi
maisha
ndogo,
nyumba
za
maisha
ndogo
waseme
yes
Wasee
wa
maisha
kubwa,
wadosi
wa
maisha
soo
Yani
maisha
kubwa,
pigeni
makofi
sasa
Chapo
za
mixi
tulikula,
mandazi
ya
Ogoroo
tulikula
Tunakumbuka
yote,
tunashukuru
kwa
yote
God
bless
wasee
wa
Okongoo,
Mungu
awabariki
Okongoo,
mtaa
wenye
historia
nzito
Baraka
za
Mungu
zishuke
kwenye
kila
nyumba
Tunainua
sauti
zetu,
tunashukuru
kwa
mema
Okongoo
daima,
mtaa
wa
upendo
na
umoja
Tunajivunia
asili
yetu,
tunajivunia
Makongeni
Makongeni,
Okongoo
yetu
Baraka
ziwe
nanyi
nyote
Tunakumbuka,
tunashukuru
Mungu
bariki
mtaa
wetu (
Fading
guitar
solo)