[female vocals] Oshumu
mpenzi
wangu
usikilizapo
wimbo
huu
jua
kwamba
ni
mimi
mpenzi
wako
ninae
kupenda
sana
na
siku
ya
leo
ni
siku
ambayo
nataka
ujue
ya
kuwa
wewe
ni
kila
kitu
kwangu
katika
huu
ulimwengu
naomba
Mungu
akupe
maisha
marefu
na
yenye
baraka
tele
ili
tuweze
kufurahia
mwanza
mpya
wa
familia
yetu
ijayo
naamini
wewe
ni
baba
bora
na
ni
mume
bora
pia
hivyo
namuomba
Mungu
akufungulie
milango
yote
ya
baraka
ilitofungwa
zidi
yako
kheri
ya
siku
ya
kuzaliwa
mpenzi
wa
moyo
wangu
naamini
kuna
siku
utafanya
yale
unatamani
kuyafanya
juu
yangu
na
mungu
wetu
wa
mbinguni
atakuongoza
katika
hilo
nakupenda
sana