Frobits
🎵 A song made on Frobits

Chaguo la Moyo Wangu

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Mpenzi

wangu…

Leo

si

siku

ya

kawaida…

Leo

mbele

za

Mungu,

Kristo

na

makuhani

nasema

tena…

wewe

ndiye

chaguo

la

moyo

wangu.

Oh

Glory,

wewe

ni

nuru

ya

macho

yangu,

Glory,

wewe

ni

pumzi

ya

maisha

yangu,

Leo

na

milele,

nitakushika

mkono,

Tutatembea

pamoja

kwenye

nuru

ya

upendo,

Glory,

baraka

za

Mungu

ziko

juu

yako,

Umeleta

amani,

umeleta

furaha

ya

kweli.

Nakumbuka

zile

nyakati

za

giza,

Ulikuwa

kimbilio

langu

na

ngome

yangu,

Hukuniacha

hata

tulipopambana,

Ulinishika

na

kunionyesha

njia,

Sasa

tazama,

tunaangaza

zaidi

ya

dhahabu,

Maana

Mungu

amebariki

muungano

wetu.

Furaha

hii

ni

kubwa,

haiwezi

kuelezeka,

Ni

wewe

tu,

ni

wewe

tu

daima.

Si

kwa

ujanja

wetu,

ni

kwa

neema

yake,

Tunasherehekea

leo,

tunaimba

sifa

zake,

Glory,

wewe

ni

zawadi

yangu

ya

thamani,

Nakupenda

leo,

nakupenda

kesho,

Milele

yote

tutashikana

mikono. ‎

INTRO –

spoken

softly] ‎

Mpenzi

wangu… ‎

Leo

si

siku

ya

kawaida… ‎

Leo

mbele

za

Mungu,

Kristo

na

makuhani ‎

nasema

tena… ‎

wewe

ndiye

chaguo

la

moyo

wangu. ‎[

VERSE 1] ‎

Nilipokuona,

moyo

wangu

ukajua, ‎

Kuna

kitu

ndani

yako

nilichokitamani, ‎

Sikujua

safari

ingekuwa

ndefu, ‎

Lakini

leo

nimesimama

hapa, ‎

nikikushika

mkono

wangu. ‎

Tulipita

kwenye

furaha

na

machozi, ‎

Tukajifunza

kupendana

zaidi, ‎

Na

kila

nilipoanguka, ‎

Upendo

wako

ulinikumbusha, ‎

kwamba

bado

tuna

safari. ‎

Yamesemwa

mengi

sana

Mungu

ametusaidia.. ‎[

PRE-CHORUS] ‎

Na

kama

dunia

itabadilika, ‎

Mimi

sitabadilika

kwako, ‎

Kama

miaka

itapita, ‎

Moyo

wangu

utabaki

wako…

wewe

ndiye

chaguo

la

moyo

wangu.

Oh

Glory,

wewe

ni

nuru

ya

macho

yangu,

Glory,

wewe

ni

pumzi

ya

maisha

yangu,

Leo

mbele

za

Mungu,

Kristo

na

makuhani

nasema

tena… ‎

Nitakupenda

mpaka

mwisho

wa

safari.

Leo

na

milele,

nitakushika

mkono,

Tutatembea

pamoja

kwenye

nuru

ya

upendo, ‎

Siku

zote

ninakuahidi

MAISHA

ya

furaha, ‎

Lakini

nakuahidi

MAISHA

ya

Amani

tele, ‎

Sitakuahidi

kila

siku

itakuwa

rahisi, ‎

Lakini

nakuahidi

nitakuwa

upande

wako. ‎

Ukitabasamu,

nami

nitafurahi, ‎

Ukilia,

nitafuta

machozi

yako, ‎

Ukiishiwa

nguvu,

nitakushika, ‎

Na

ukichoka,

nitakukumbatia, ‎

Mpaka

nguvu

zirudi.

wewe

ndiye

chaguo

la

moyo

wangu.

Oh

Glory,

wewe

ni

nuru

ya

macho

yangu,

Glory,

wewe

ni

pumzi

ya

maisha

yangu,

Leo

na

milele,

nitakushika

mkono, ‎

Kama

ningepata

nafasi

tena, ‎

ya

kuchagua

mtu

wa

kuishi

naye, ‎

ningekuchagua

wewe

tena… ‎

Bila

kusita… ‎

Bila

kuogopa… ‎

Kwa

maana

wewe

si

sehemu

ya

maisha

yangu

tu… ‎

Wewe

ni

maisha

yangu. ‎ [

FINAL

CHORUS –

Afrobeat

rises] ‎

Glory…

oh

my

love…

Asali

yangu ‎

Mke

wangu,

kanisa

wangu, ‎

Mpenzi

wa

moyo

wangu… ‎

Leo

tumeingia

kwenye

agano, ‎

Agano

la

upendo… ‎

Agano

la

maisha… ‎

Nitakupenda

leo, ‎

Nitakupenda

kesho, ‎

Nitakupenda

mpaka

mwisho

wa

safari. ‎[

OUTRO –

softly] ‎

Glory... ‎

Shikaneno… ‎

Tendaneno… ‎

Moyo

wangu

ni

wako. ❤️

Nakushuru

MUNGU

WA

ELIYA

KIZAZI

Cha

NNE.

Nakushukuru

MJUMBE

WA

MAPENZI

YA

MUNGU

NIMEMPATA

HAJA

YA

MOYO

WANGU (

Triumphant

brass

fades

out)

More songs by Uwezampya Listen to songs created by others
FROBITS