Frobits
🎵 A song made on Frobits

Kikombe cha Msalaba

Chrisant Shomolo Festus · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Wengi

wao

waliulizwa

nimtendeje

mtu

huyu,

kutano

nalo

likamjibu,

wengine

asurubiwe

auwawe

atundikwe

kwenye

mti,

alidharauliwa

na

kukataliwa

bila

huruma

walimtundika

mtini, (

hawakujua

ni

Mungu

mkuu

aliyewaumba)*2

Baba

uwasamehe

watoto

wako

maana

hawajui

walitendalo,

laiti

wangelijua

waliemtundika

alikuwa

ni

Mungu

wao, (

bado

aliwaombea

kwa

Mungu

awasamehe

makosa

Yao)*2

Alilia...

Kama

inawezekana

Baba,

kikombe

hiki

kiniepuk ,

si

kama

vile

nipendavyo

bali

mapenzi

yako

yatimizwe,

kwa

maumivu

makali

aliyoyapata

alilia

kwa

uchungu

mwingi "

kama

ukitenda

dhambi

tena

unamrudisha

msalabani"(

ghadhabu

yake

itakuwa

juu

yako

wewe

mtenda

dhambi)*2

More songs by Chrisant Listen to songs created by others
FROBITS