Frobits
🎵 A song made on Frobits

Linda Imani Yako

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] KAZI

YA

SHETANI

NI

KUIWINDA

IMANI

YETU 1

Petro 5:8

-9 > "

Mwe

na

kiasi

na

kukesha,

kwa

kuwa

mshitaki

wenu

Ibilisi,

kama

simba

angurumaye,

huzunguka-zunguka,

akitafuta

mtu

ammeze.

Nanyi

mpingeni

huyo,

mkiwa

thabiti

katika

imani..."

Mpendwa,

vita

kubwa

shetani

anayopigana

na

mtu

wa

Mungu

sio

dhidi

ya

mwili,

mali

au

kazi

yako

tu.

Analenga

IMANI

yako.

Akikufanya

uache

kumwamini

Mungu,

amekufanya

udhaifu

wako

uwe

mkubwa

kuliko

ahadi

za

Mungu.

SHETANI

HUANZAJE

KUIWINDA

IMANI

YAKO? 1.

KWA

KUKULETEA

MASHAKA

SHETANI

HUANZAJE

KUIWINDA

IMANI

YAKO? 1.

KWA

KUKULETEA

MASHAKA

Alimwambia

Hawa, "

Ati!

Hivi

ndivyo

alivyosema

Mungu...?" (

Mwanzo 3:1)

Anakufanya

ujiulize:

More songs by bngoze Listen to songs created by others
FROBITS