[female vocals] Nilipokua
mdogo
sikumjua
baba
yangu
vizuri
nilidhani
ni
mtu
wa
kawaida tuux2,
Ile
kupata
akili
niligundua
yeye
ndio
Kila
Kitu
kwetu,
Baba
alijinyima
kunywa
bia
ili
sisi
tushibe
vizuri,
Baba
alitumia
pesa
alizopata
Kwa
kazi
ngumu
kunywa
angalau
pombe
za
kienyeji
ili
sisi
tule
vizuri,
Baba
alifanya
kazi
ngumu
na
za
hatari
ili
tu
some
wanae,
Baba
alikuwa
na
utaratibu
mzuri
kuhusu
sisi,
pindi
tulipotaka
pesa
ya
matunizi
madogo
madogo
alituambia
kamwam
ieni
mama
yenu
atawapa,
Jamani
ukweli
wa
mambo
baba
ndio
alimpa
mama
hizo
pesa,(
corus)
Nilipokua
mdogo
sikumjua
baba
yangu
vizuri
nilidhani
ni
mtu
wa
kawaid