Frobits
🎵 A song made on Frobits

Eagle Coy Mabingwa

SniperMroki360 · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Eagle

Coy

timu

nzuri

na

mfano

wa

kuigwa

na

Coy

zote...

wanasema

sisi

ni

wazee

lakini

tunawanyoosha

maGenZ,

hakuna

matata

ushindi

tunao

na

tunatamba

nao.

Kushinda

ni

kawaida

yetu.

Kilicho

baki

ni

kupewa

pass

ya

kulala.

Meneja

Nyamonge,

namba 1

kuna

Seif,

namba 2

kuna

Nova,

wapi

veteran

Busumabu,

Shetani,

Fundi

wa

mpira

Nadoo.

Haya

sasa

fainali

ni

yetu

na

hakuna

wakutuweza.

Eagle

Coy

namba

moja

Kalunde

TC

afande

tupe

pass

ya

kulala

Eagle

Coy

hakuna

matata.

Kalunde

kuna

rahaaaaa

ikiwepo

Eagle

Coyyy..

Haya

tucheze

wote

shangwe

kwa

Eagle

Coy.

Mpira

tunakichapa,

Netball

tunakichapa,

volleyball

tunakichapa.

Hata

wewe

ukishangaa

tunakuchapa.

More songs by SniperMroki360 Listen to songs created by others
FROBITS