[male vocals] familia
ya
thadeus
joseph
kimario
na
mama
mke
theodora
patrick
kisakanike
tuna
mshukuru
Mungu
kwa
watoto
wanne
na
mjukuu
moja
Mungu
ashukuriwe
watoto
wa
kwanza
akiwa
jackline
thadeusi
wa
pili
joseph
thadeus
watatu
akiwa
ni
johnson
thadeus
japo
ana
shida
ya
kusikia
na
kuongea
lakini
yupo
wa
nne
na
wa
mwisho
julieth
thadeus
wote
Tunamshukuru
Mungu
kwa
baraka
na
neema
tunawashukuru
wotw
tunaoishi
nao
vizuri
tunawapenda
na
wanatupenda