[female vocals] Ni
chuki
ndio
inawasumbua,
hamuwezi
kutulia
bila
masimango.
Mnaniongelea
kwa
mabaya
eti
kisa
TikTok
coins.
Mnasema
nimeolewa
hata
kama
ingekuwa
kweli
kwani
inawahusu
nini?.
Kama
mnampenda
mzungu
mngesema
tu
sio
kuwekelea
maneno.
Mjue
siwaogopi
Wala
siwahofii,
pia
hamuwezi
nipangia
nini
nifanye