[female vocals] Natazama
juu
milimani
msaada
wangu
utatoka
wapi,
msaada
wangu
u
katika
bwana
aliyezifanya
Mbingu
na
Nchi.
Wamtumainio
bwana
ni
kama
mlima
sayuni
hawatatikisika
milele
heri
mtu
ambaye
bwana
ni
Mungu
wake
amebarikiwa
mtu
yule
anaye
mtegemea
bwana
moyoni
mwake
hataona
hofu
kabisa.
Ndugu
yangu
bwana
ndiye
ngome
yetu
na
msaada
upatikanao
wakati
wa
shida
na
mateso.
Najua
unapitia
katika
magumu
mazito
pengine
unavunjika
moyo
yawezekana
hujamuita
bwana
kwa
Imani
Mungu
wetu
yupo
hajalala
hajasinzia
wala
hajasafiri
au
kwenda
likizo
alitenda
anatenda
atatenda
muite
sasa
katika
maombi
kwa
imani.