Frobits
🎵 A song made on Frobits

Sidi wa Gongoni

Ciddy · 🇰🇪 Kenya
0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] SIDI

TUVA

goma

Ra

kimilulu

Binti

wa

Edda

na

TUVA,

mke

wa

Eric

Mama

wa

Marylissa,

Patrick

na

Eliana

Ulikuzwa

katika

maadili

mema

ya

ki

kirsto

na

wazazi

wako

wema.

Umekuwa

mwalimu

kwa

muda

sasa

na

umefunza

vyema.

Mungu

amekuwa

pamoja

nawe

na

katika

mikono

yako

wanafunzi

wengi

wamepitia.

Katika

kanisa

umekuwa

mstari

wa

mbele

katika

uimbaji.

Mulungu

namvera

kwa

afya

mbidzo

na

maisha

Gaga,

navoya

uenderere

kunipa

nguvu

nidime

kuihenda

kazi

ya

kwako

na

kuhudumia

tototo

anafunzi

mandio

kirira

kahi

za

mikono

ya

kwangu.

SIDI

WA

GONGONI

nasema

Asante

kwa

Mungu.

More songs by Ciddy Listen to songs created by others
FROBITS