[female vocals] Watoto
wa
KKKT
IHOWANZA
tunawapongeza
kwenye
sikukuu
yenu.
Mmekuwa
na
kwaya
nzuri
inayoburudisha
na
kuhubiri
Kwa
njia
ya
uimbaji.
Katika
mazingira
ya
Aina
zote
mmepambana
kuhakikisha
kwaya
yenu
inaendelea.
Tunawapongeza
pia
walimu
wenu,
Mzee
Makonyola
na
Kaka
Saudi.
Mungu
aendelee
kuwabariki.
Tunawasihi
endeleeni
kumtegemea
Mungu,
naye
hatawapungukia.
Baraka
zake
mtaendelea
kuziona.
Wazazi
na
Walezi
tunawapongeza
pia.
mmewaruhusu
watoto
kuidumisha
kwaya
yao.
Lakini
pia
mmekuwa
mkiwawezesha
Kwa
sare
na
mahitaji
mengine.
Mzee
Chaula
hongera
Kwa
kuwajali
watoto.
Umekua
ukijitolea
kuwasafirisha
watoto
wafanyapo
ziara.
Washarika
wote
wa
Ihowanza
twawapongeza.
Mungu
azidi
kuwabariki!
Amen