Frobits
🎵 A song made on Frobits

Vita vya Mtaa

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[Intro - War Siren + Shout] Yeah!

Cormas

hapa...

YEEEEES!

Kwanini

Afrika?! (

Afrika!)

[Hook - KIFUA, KUFOKA, WATU WANAJIBU] Afrika! (

EEEEEEHEEE!)

Amka! (

EEEEEEHEEE!)

Uwazi,

ukweli! (

Na

na

na

naaaa!)

Uwazi,

ukweli! (

Na

na

na

naaaa!)

Haiwezi

game

kuwa

ngumu!

Mali

zote

zetu,

mafanikio

juhudi

zetu!

Uwazi,

ukweli! (

Na

na

na

naaaa!)

Haiwezi

game

kuwa

ngumu!

Mali

zote

zetu,

mafanikio

juhudi

zetu! (x2)

[Verse 1 - FAST RAP, KUFOKA SANA] Cosmas

hapa..

yeeeeees,

ninataka

kuandika

bwana,

Kuhusu

Afrika,

lenye

madini,

utajiri! (

How?!)

Maafa!

Watu

wanalia

dah!

Wawakilishi

mnatuuza!

Si

siri

mnatamaa!

Kaka

na

mama

wameteseka!

Madawa

hakuna,

hospitali

kibunda,

Eti

tulipie

kwanza!

Kivi?!

Si

hiri?!

Ni

lini?!

Kwanini?!

Hivi

mnajua

dunia

si

bendera?! (

Si

bendera!)

Mengi

yatukuta,

kwanini

Afrika?!

Vifo,

vipigo! (

Daah!)

Mara

tulia! (

Eeeh!)

Usije

bambikiziwa

kesi

ya

madawa!

Usikubali

mdomo

kushona!

Hii

si

ya

familia!

Wajibu

wote

kuipigania!

Haiwezekani

watu

maelfu,

Kuhamuliwaaaaaaasssss

eti

na

kaya

haaaaaaa!

[Bridge - Flow Inabadilika, Half Speed, Nzito] Huyu

John,

huyu

Juma,

huyu

Mwakitambula,

Huyu

ndio

aliyechora

ramani,

Mwandambo,

Shekh

Juma

wa

Usagala,

etu

letu

moja,

Jibu

sahihi

limepita,

kwa

nguvu

moja

na

umoja!

Musa

kalizika,

bwanae

pia...

[Verse 2 - SPIDI KALI ZAIDI, KAMA RISASI] Giza

limetanda,

kila

kona!

Si

kwa

mvuvi

mpaka

muuza

mwanga!

Nani

ni

nani?!

Kivipi?!

Watu

wanahangaika! (

Taaah!)

Pesa

zina

bagua!

Kisa

mnapewa

vipande

vya

Yudai,

ukidai

eti

zitalia!

Bunduki

au

utapotea!

Zamani

Somalia,

Uko

ndugu

wa

Uvira,

tukawaza

labda

tutaunga,

Tutawatuliza,

kumbe

tunafurahia!

Hii!

Kali

ya

mwaka! (

Tena!)

Kali

sana!

Hivi

sukari

inaweza

kulegeza

thamani

ya

chuma,

Kuzidi

hata

ya

kupumua!

Kwani?!

Aliyemuumba

mora!

Wengi

wanashangaa,

wachache

butwaa!

Kwani?

Kwani?

Kwani

ni

nini?!

Kesho

kwa

nani?!

Ni

yupi?

Utasikia

stori

itakapoishia!

[Breakdown - Walimwengu, Sauti ya Hasira] Walimwengu

bwana,

eti

ni

tamaa

ama

ni

ushamba,

Hawana

jema,

hawa

mabwana!

Kila

ufanyalo

utasikia

tutakuchunguza!

Ukiwa

juu

unajiona

wewe

ndio,

uki...

Siku

dunia

itasimama

daaah

pambio

mawe

yata...

[FINAL CHORUS - JESHI ZIMA LINAFOKA, BITI LINALIPUKA] Afrika! (

EEEEEEHEEE!)

Amka! (

EEEEEEHEEE!)

Uwazi,

ukweli! (

Na

na

na

naaaa!)

Uwazi,

ukweli! (

Na

na

na

naaaa!)

Haiwezi

game

kuwa

ngumu!

Mali

zote

zetu,

mafanikio

juhudi

zetu! (x2)

[Outro - Shout + 808 Cut] Cormas

hapa...

YES!

Mbeya

City!

Dunia

si

bendera! (

BOOM!) *

Siri

niliyoiweka

ili

AI

IFUKE

KIBABE:* 1. *150

BPM* -

Hii

ni

spidi

ya

drill

ya

vita,

mtu

akisikiliza

lazima

apige

ngumi

hewani 2. *

FAST

SHOUTED

RAP* -

Nimemwambia

AI

asirudie

kwa

mahaba,

afoke! 3. *

War

drums +

battle

horns* -

Biti

itasikika

kama

jeshi

linaenda

vitani 4. *(

EEEEEEHEEE!) (

BOOM!)* -

Hizi

ad-lib

ndizo

zinafanya

wimbo

uvute

na

uwe

hai

More songs by NDIKILO Listen to songs created by others
FROBITS