Mama
Jeni,
umeniacha
kwenye
giza
totoro
Uliacha
kila
kitu
bila
taarifa
Ukanitupa
kwenye
bahari
ya
majuto
Mama
Jeni,
ulinikimbia
kisa
nini?
Ukanicha
na
madeni
makubwa
ya
biashara
Siku
zinasonga,
mzigo
unazidi
kulemea
Ulisema
vibaya
kwa
ndugu
zako
Uliwatangazia
marafiki
zetu
uongo
mtupu
Sikujua
kuwa
penzi
letu
litafika
mwisho
kwa
aibu
Mama
Jeni,
umeniacha
kwenye
giza
totoro
Ulihujumu
biashara
zetu
zote
Ulizichukua
pesa
ukawekeza
kwenu
Ukajenga
nyumba
ya
kisasa
kwa
jasho
langu
Lakini
mimi
ulinifanya
masikini
wa
kutupwa
Ukaondoka
kwa
kisingizio
cha
kutopendwa
Kumbe
ulikuwa
na
lako
jambo
rohoni
Nakumbuka
ule
wakati
nakufungulia
duka
kubwa
Lile
duka
la
Luhanga
lililokuwa
kiburi
chetu
Nilijenga
nyumba
bora
ili
uishi
kama
malkia
Ukapata
kila
kitu
ulichokitamani
Lakini
leo
nimebaki
na
makovu
tu
Ulisema
sikutendei
haki,
uongo
mtupu
Ulinivua
nguo
mbele
ya
jamii
Ila
naumia
zaidi
kwa
kuacha
nyumba
tupu
Mama
Jeni,
umeniacha
kwenye
giza
totoro
Ulihujumu
biashara
zetu
zote
Ulizichukua
pesa
ukawekeza
kwenu
Ukajenga
nyumba
ya
kisasa
kwa
jasho
langu
Lakini
mimi
ulinifanya
masikini
wa
kutupwa
Ukaondoka
kwa
kisingizio
cha
kutopendwa
Kumbe
ulikuwa
na
lako
jambo
rohoni
Watoto
sita
wako
hapa,
wananiuliza
ulipo
Mtoto
wa
mwisho
anabeba
jina
langu
Anafanana
na
wewe,
kila
nikimwangalia
Machozi
yananitoka,
moyo
unapasuka
Asante
kwa
watoto,
lakini
maumivu
yamezidi
Siwezi
kukusahau,
hata
ukiniumiza
kiasi
gani
Mama
Jeni,
umeniacha
kwenye
giza
totoro
Ulihujumu
biashara
zetu
zote
Ulizichukua
pesa
ukawekeza
kwenu
Ukajenga
nyumba
ya
kisasa
kwa
jasho
langu
Lakini
mimi
ulinifanya
masikini
wa
kutupwa
Ukaondoka
kwa
kisingizio
cha
kutopendwa
Kumbe
ulikuwa
na
lako
jambo
rohoni
Nimebaki
na
deni,
nimebaki
na
watoto
Umeenda
na
nyumba,
umeenda
na
kila
kitu
Mama
Jeni,
kwa
heri
ya
kuonana
Uchungu
huu,
utabaki
ndani
ya
moyo
wangu
Uchungu
huu,
utabaki
ndani
ya
moyo
wangu (
Milele,
mama
Jeni) (
Nakukumbuka
kwa
maumivu)