A song made by The Bigminds
A song made by The Bigminds
johkenbigminds
on
The
beat
Edna unapendeza sasa kwa mbali naona
Penzi lako ni motomoto roho yangu inaliona
Ooohhhhhj
(Mhhhhh)
Mahaba yako yanapoteza natamani nikumbatane (nikumbatie)
Ukinichekea tu moyo wangu unanidunda. Duu
Du
Oh come over OOOHHH mama come over (come over)
Nakuvuta karibu usiwe mbali lover
Kiuno chako cha nyigu unanizingua
Na shepuu yako mama unanitesa juwa
Mwanzo ninapokuvua hiyo miwani
(hiyo miwani)
Halafu nakutazama usoni kwa makini
(Sana makiinii)
Aaah nafeel tu kuwa ndaaani yako
Mmmmhh ndaaani
baby
(oohh ndaaani)
Naogelea kwenye penzi lako kama bahari
(ndani ya bahari)
Hata jua linashuka na mwezi kuinuka
Nataka uwe wangu hata mchana kucha
Unanitesa kwa mapenzi yako ya nguvu
We mama ni wa ajabu penzi hili lawasha
Oh come over YVONNE come over
(COME OVER MAMAAA)
Nakuvuta karibu usiwe mbali lover
Kiuno chako cha nyigu
(Ooohh kiunooo)
Kiuno
unanizingua
Na shepuu yako mama unanitesa juwa
your are my lover
(Unapendeza MOYAN tabasamu lako maridadi)
All I need is you nakuona tu radhi
(We ni wangu mama aa
hakuna mwingine zaidi)
Sema ndio basi twende mbali zaidi
ZAIDI
(ZAIDI)
"WUUUUUUUUU"
hahahaaa