Frobits
🎵 A song made on Frobits

Baraka kwa Familia ya Veronica

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Tunakushukuru

mungu

kwaajili

ya

mengi

Kwan

hata

uhai

huu

hatuku

ustahili

bwana

Pia

tunakuomba

mungu

mbariki

mama

yetu

Veronica

ayubu

Pia

bariki

uzao

wake

bwana

Mbariki.

Emanuel

Mbariki

na

Elizabeth

bwana

Mbariki .

Elina

Mbariki

na

Ezekia

bwana

Usimuache

na.

Chares

mungu

wetu

Tutie

nguvu

tupe

hekima

na

mioyo

iliyo

pondeka

baba

Tuheshimiane

na

kupendana

siku

zote

za

maisha

ya

hapa

duniani

Bariki

pia

vizazi

vyetu

mungu

wakawe

vichwa

na

sio

mikia

tuna

kuamini

bwana

utatenda

sawa

na

mapenz

yako

usituache

njiani

bwana

asante

kwa

ulinzi

wa

kila

siku

Tuna

kupenda

na

kuku

heshimu

eeee

mungu

wetuuuh

Tufanye

tuwe

kitu

kimoja

bwana

kwamaana

upendo

uleta

furaha

utufanyie

mioyo

safi

bwana

ili

tuzidi

kukutumikia

wewe

bwana

wetu

hatuna

tumaini

lengine

ila

wewe

mungu

endelea

kumtunza

mama

yetu

Veronica

ayubu

Hakikisha

anakuwa

na

furaha

kila

wakati

na

umkumbeshe

ya

kuwa

sisi

watoto

wake

tuna

mpenda

sana

na

kumuombea

kila

wakati

uzima

wake

ndio

uzima

wetu

pia

Asante

mungu

kwa

kila

kitu

ulicho

fanya

kwenye

maisha

yetu

hatuna

chakukulipa

bwana

bali

tunakushukuru

tu

Amina

amina

na

milele

Amina

amina

na

milele

More songs by Mike Listen to songs created by others
FROBITS