A song made by Man Of God's Chris Msaki🙏
A song made by Man Of God's Chris Msaki🙏
Haleluya, Bwana yuaja
Sifa na utukufu ni Kwake, Amen
Chris Msaki Nasema kuwa
Kila jicho litamwona Bwana hakirudiiiiiii
Kila jicho litamwona Bwana hakirudiiiiiii
Na kitu kinyonge hakitaingia zi zini kwa Bwana kitu kinyonge hakitaingia zizini kwa Bwana
Chris Msaki naimba kuwa
Kila jicho litamwona mfalme akitoka mawinguni Kila mtu kwa nafasi yake atamuona alishuka hakuna cha mwarabu hakuna cha Mzungu Kila mtu kwa nafasi yake atamuona akishuka Kila jicho wa pendwaaaaa
Chris Msaki Nasema kuwa
Kila jicho litamwona Bwana hakirudiiiiiii
Kila jicho litamwona Bwana hakirudiiiiiii
Na kitu kinyonge hakitaingia zi zini kwa Bwana kitu kinyonge hakitaingia zizini kwa Bwana
Chris Msaki Nasema kuwa
Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina. Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
Kila jicho wa pendwaaaaa
Chris Msaki naimba kuwa
Kila jicho litamwona Bwana hakirudiiiiiii
Kila jicho litamwona Bwana hakirudiiiiiii
Na kitu kinyonge hakitaingia zi zini kwa Bwana kitu kinyonge hakitaingia zizini kwa Bwana
Chris Msaki naimba kuwa
Tazama anakuja na mawingu yale
Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana
Nguvu na mamlaka ziko mikononi Mwake
Kila goti litapigwa mbele Zake
Tunamngoja kwa tumaini kuu ya sifa
Chris Msaki naimba kuwa
Kila jicho litamwona, litamwona Yeye
Katika utukufu Wake mkuu, Haleluya
Kila ulimi utakiri Yeye ni Bwana
Yesu Kristo, Mwokozi wa dunia
Kila jicho litamwona, Amina
Hatakata tamaa aliyetulia Kwake
Giza litakimbia nuru Ikija
Anapanguza machozi ya watakatifu Wake
Sauti Yake ni kama maji mengi ya mto
Shangilia, maana ukombozi umekaribia
Kila jicho litamwona, litamwona Yeye
Katika utukufu Wake mkuu, Haleluya
Kila ulimi utakiri Yeye ni Bwana
Yesu Kristo, Mwokozi wa dunia
Kila jicho litamwona, Amina
Haleluya ahaaaaa haleluya ahaaaaa haleluya ahaaaaa
Haleluya ahaaaaa haleluya ahaaaaa haleluya
Tutamwona Yeye, Haleluya
Kila jicho litamwona
Amen, Amen