Niroge,
niroge,
niroge
Junior
Penzi
lako
halichuji
Uniroge
mie,
hadi
kieleweke (
Sauti
tamu,
penzi
mubashara)
Niroge
nakuruhusu,
penzi
lako
nichizike
Niroge
yale
mabusu,
nijifie
wanizike
Niroge
si
nusu,
kwingine
nisichepuke
Niroge
unipe
huku,
ninate
nisichomoke
Niroge
jua
sijali,
kwa
wachawi
na
waganga
Niroge
mie
rijali,
chumbani
shinda
na
khanga
Niroge
kwa
penzi
kali,
nideke
kama
kichanga
Niroge
kwa
matunguli,
ya
bibiyo
Sumbawanga
Niroge,
nifanye
punda,
penzi
lako
nakubali
Niroge,
waje
niponda,
jana
bure
bwege
hili
Niroge,
papasa
kanda,
nikoshe
tekenya
mwili
Niroge,
sitaki
kwenda,
nipe
uno
mie
chali
Niroge
sina
tatizo,
kila
utakalo
liwe
Niroge
bila
likizo,
shambani
kupaliliwe
Niroge
na
kamchezo,
zima
taa
tunogewe
Niroge
mwendelezo,
nishughulike
na
wewe
Niroge
hiyo
limbwata,
kwako
nigeuke
zoba
Niroge
niwe
nabwata,
hamu
inapo
nikaba
Niroge
mapishi
tata,
nikila
niwe
nashiba
Niroge
vile
swadata,
nibaki
kusema
toba
Niroge,
nifanye
punda,
penzi
lako
nakubali
Niroge,
waje
niponda,
jana
bure
bwege
hili
Niroge,
papasa
kanda,
nikoshe
tekenya
mwili
Niroge,
sitaki
kwenda,
nipe
uno
mie
chali
Uniroge
sana
humu,
Nyantuzu
hata
Kichaga
Niroge
Geita,
Lamu,
na
Chato
uchawi
tega
Niroge
zamu
kwa
zamu,
Unyantuzuni
na
Nzega
Niroge
nipe
utamu,
kazini
nianze
tega
Umeniteka
kwa
mapenzi,
nakupa
moyo
wangu
Kila
siku
ni
ujenzi,
unajenga
ndani
mwangu
Sihitaji
mwingine
tena,
we
ndio
chaguo
langu
Utamu
wako
wa
maana,
unapoza
shauku
yangu
Niroge,
nifanye
punda,
penzi
lako
nakubali
Niroge,
waje
niponda,
jana
bure
bwege
hili
Niroge,
papasa
kanda,
nikoshe
tekenya
mwili
Niroge,
sitaki
kwenda,
nipe
uno
mie
chali
Niroge,
niroge,
niroge
Junior
Penzi
lako
halichuji
Uniroge
mie,
hadi
kieleweke
Niroge,
niroge,
niroge
Junior