Frobits
🎵 A song made on Frobits

Pourquoi Ce Silence

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

[male

vocals] (

Instrumental

de

cordes

et

percussions

en 5/4)

Mungu

baba,

mungu

baba

WA

Salama ,

mungu

baba ,

ni

kwa

Nini

umetuacha?×2

Ehhh

mungu

baba,

mungu

baba

WA

Salama

papa,

mungu

baba,

ni

kwa

Nini

umetuacha

ehhh

Ehhh

mungu

baba,

mungu

baba

WA

Salama

papa,

mungu

baba,

ni

kwa

Nini

umetuacha

ehhh

Mungu

baba,

mungu

baba

WA

Salama,

mungu

baba,

ni

kwa

Nini

umetuacha ?

Ivi

tu

naishi,

aina

sauti

Yako,

ibi

tu

naona,

aina

mapenzi

Yako,

Uli

semaka,

nikiamini

Mita

Ona ,

utulufu

wako,

pa

maïsha

yangu ×2

Ulisema,

nikiamini

Mita

Ona,

utulufu

wako,

pa

maïsha

yangu

Yangu

nili

Amini

baba

maïsha

yangu

ni

paka

ile

ile,

ya

kulomba

kwangaika

kulia,

na

kusaka

meno,

pa

kupata

namuna

ya

Kuishi,

inabiji

niombe,

lwa

kulomba

mingi

baba

wangu

yeah,

bananita

kalombo,

Mungu

baba,

mungu

baba

WA

Salama,

mungu

baba,

ni

kwa

Nini

umetuacha

Mungu

baba,

mungu

baba

WA

Salama ,

mungu

baba ,

ni

kwa

Nini

umetuacha?×2

WA

KADIMA

Étienne

mwambi

wanyi

ulisema

weye

auta

niacha

baba

Ulisema,

utabariki

Kazi

ya

mikono

yangu

Ulisema

tuta

kongosha

atuta

kongola

shiye

Ulisema

tuta

endelea

atuta

rujia

nyuma

Ulisema

tutapikwa

vita

na

ushinji

ni

wetu

Ulisema

tutakuwa

bichwa

mikila

apana

Ona

Léo

tunaishi

kinyume

na

misemo

Yako

Yoyoyooo,

ulisema

Nini

tukuamini

papa

Ulisema,

nikiamini

Mita

Ona,

utulufu

wako,

pa

maïsha

yangu (

Piano

claviers

et

guitare)

Mbaya

utoka

Paul

wangu

umoneshe

mungu

wako

anikumbukeko,

nju

miye

lwangu,

jean

WA

ngasa

mina

choka

mateso,

kuzarikwa

mu

mateso,

kukomea

mu

mateso,

Kuishi

mu

mateso,

karibu

nikufwe

mu

mateso

papa

Ba

myaka

yangu,

tuli

komea

nabo

Usha

babariki,

Kweli

ni

Neema,

sasa

miye

uyu,

una

niacha

njuya

Nini ,

Unielezehe

basi,

kama

aina

weye

njo

mungu

Ali

niumba,

nikuache

lwangu,

nikatafute

ule

Ali

niumba

ani

saijiye,

nju

mateso,

mateso

lwangu

mina

ichoka,

number

baba,

utulufu

wako

ni

Nini

shamah

Kumbe

baba,

utulufu

wako

ni

Nini ?

Kumbe

baba,

utulufu

wako

ni

Nini.×2

Unenda

wapi,

mungu

WA

Salama,

shuka

Léo,

jibu

maswali

yetu

baba,

tunapenda

tuone

mukono

wako,

pa

maïsha

yetu,

Utuwazieko

baba.

Ushi

nipeme

kipimo

kimoya

na

Jobehhh,

ule

ni

Jobehhh,

miye

ni

jean

WA

ngasa,

Imani

yangu

na

ya

Jobe

bisha

kuachana

mbari,

sasa

nju

ya

Nini

mateso

yangu,

ifanana

yakee?

Minakulomba

papa

shikiya

kiliyo

changu,

bule

mitakwa

kukuacha

lwa

mateso

Utuwazieko

baba.

Tuna

itana,

tuna

changana,

tuna

panda

Ku

mulima

baba,

atukwe

kujisha

kintu,

tunakuya

Ku

kutafuta

wewe

baba,

kila

muntu

eko

na

Mambo

ndani

mwake,

anapenda

Nini

yooo

Utuwazieko

baba.

Tunalia

tunachoka

baba

shuka

Utuwazieko

babeee,

utuwazieko

babeee ×...

Jean

Kav

production.

More songs by John Listen to songs created by others
FROBITS