A song made by Uwezo wetu campany
A song made by Uwezo wetu campany
Geukia jirani yako umwambie maneno haya bila kumficha
Akubaliye kurudiwa huwa katika njia ya uzima
Radia maneno haya asikie ,
Akubaliye kurudiwa huwa katika njia ya uzima
; Baking aachaye maonyo hukosa.
He is in the way of life that keepeth instruction: but he that refuseth reproof erreth.
Yeye afichaye chuki ana midomo ya uongo,
Na yeye asingiziaye ni mpumbavu.
He that hideth hatred with lying lips, and he that uttereth a slander, is a fool.
Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu;
Bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili.
In the multitude of words there wanteth not sin: but he that refraineth his lips is wise.
Ulimi wa mwenye haki ni kama fedha teule;
Moyo wa mtu mbaya haufai kitu.
The tongue of the just is as choice silver: the heart of the wicked is little worth.
Midomo ya mwenye haki hulisha watu wengi;
Bali wapumbavu hufa kwa kuwa hawana ufahamu.
The lips of the righteous feed many: but fools die for want of wisdom.
Baraka ya BWANA hutajirisha,
Wala hachanganyi huzuni nayo.
The blessing of the LORD, it maketh rich, and he addeth no sorrow with it.
Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo;
Bali mtu mwenye ufahamu ana hekima.
It is as sport to a fool to do mischief: but a man of understanding hath wisdom.
Aogopacho mtu asiye haki ndicho kitakachomjilia;
Na wenye haki watapewa matakwa yao.
The fear of the wicked, it shall come upon him: but the desire of the righteous shall be granted.
Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena;
Bali mwenye haki ni msingi wa milele.
As the whirlwind passeth, so is the wicked no more: but the righteous is an everlasting foundation.

Pick one photo or multiple for a slideshow (up to 10) — we'll create a video with your track, ready for TikTok, Reels & Stories
Opening gallery…
Select your photo
Cooking your video...
We'll send it straight to you when it's hot 🔥
You can close this page — we'll deliver it directly to you.
Your video is ready!
It's been sent to your WhatsApp. Save it, then post it to your socials below.
Tag @afrobits.ai when you post
Distribute your song to 150+ streaming platforms
and get heard around the world.
Millions of listeners are waiting to hear your sound
Starting from just $2.99/yr · Auto-renews annually · Cancel anytime
Annual subscription. Auto-renews yearly. Cancel anytime — your song stays live until the paid period ends.