[male vocals] Na
yeye
aketiye
juu
ya
kile
kiti
cha
enzi
akasema,
Tazama,
nayafanya
yote
kuwa
mapya.
Akaniambia,
Andika
ya
kwamba
maneno
hayo
ni
amini
na
kweli.
Akaniambia,
Imekwisha
kuwa.
Mimi
ni
Alfa
na
Omega,
Mwanzo
na
Mwisho.
Mimi
nitampa
yeye
mwenye
kiu,
ya
chemchemi
ya
maji
ya
uzima,
bure.