A song made by PareQn👑OG
A song made by PareQn👑OG
**
**
Nilikutana na wewe online, dating app sikuamini mapenzi
Moyo ulivunjika, maisha yamekuwa na giza
Tangu baba yangu aondoke,nikaona dunia imeganda
Wewe ukaja, Joseph Ndulu, ukawa nuru yangu
Japo tumepita nyakati nyingi ngumu,
Kukorofisga kutoelewana nivyakawaida
Umenibadilisha sana.
***_
Wakati mama yangu anaugua, wewe ukawa nguzo
Ujifanye hujali, lakini ulijali sana kama mama yako
Miaka minne sasa, umesimama kama baba
Umeyafunga majeraha yangu kwa upendo wako
**
Sijali hofu inayosema watu utaniacha
Sijali kesho itakavyokuwa giza
Maana wewe ndio faraja yangu, Joseph Ndulu
Wewe ndio mshauri wangu usiku na mchana
_***
Unakumbuka kipindi kile unaumwa nilikuja ofisini japo ulidhani nisingeweza,
Zawadi yangu ya birthday uliyonipa ilikuwa nzuri sana
Nauumia sana nikikosa sauti yako
Nakufa moyo siku isiyokuwa na ujumbe wako
Naheshimu upendo wako, naheshimu kujitoa kwako
Wewe ndio baba, ndugu, mpenzi... kila kitu kwangu
**
Ndulu wangu...
Sijui ningekuwaje bila wewe
Umenionyesha kuwa familia si damu tu
Ni mtu anayekaa na wewe kwenye vumbi la maisha
Usiniache... simama kama mapenzi na baba daima
Mimi nakuhitaji, leo, kesho, milele
**
Joseph Ndulu wangu, nakupenda sana
Zaidi ya hofu zangu zote, zaidi ya machozi yangu
Wewe ndio jibu la dua zangu
Baki nami, uwe nguzo yangu... milele ❤️

Pick one photo or multiple for a slideshow (up to 10) — we'll create a video with your track, ready for TikTok, Reels & Stories
Opening gallery…
Select your photo
Cooking your video...
We'll send it straight to you when it's hot 🔥
You can close this page — we'll deliver it directly to you.
Your video is ready!
It's been sent to your WhatsApp. Save it, then post it to your socials below.
Tag @afrobits.ai when you post
Get your own artist profile on Spotify, Apple Music & 150+ platforms. First song included — add more for just each.
Millions of listeners are waiting to hear your sound
Annual subscription · First song included · Add more songs for just each · Cancel anytime
Annual subscription. Auto-renews yearly. Cancel anytime — your song stays live until the paid period ends.