[male vocals] Chitu
na
Afrobit.
Yehovah!
Yehovah!
Rabuka,
Rabana,
Maulana,
Majina
yote
mazuri
ni
yako.
Yehovah
YAHWEH-
Aliyepo
milele,
Mungu
Uwezo
wake
wafika
kilele.
Majina
yote
mazuri
ni
yako.
Haya
ni
Majina
ya
Mungu,
Yanayoonyesha
ana
nguvu
kuliko
miungu.
Nguvu
kuliko
mabomu,
mikuki
na
marungu.
Majina
yote
mazuri
ni
yako.
Yehovah
Adonai-Mungu
mmiliki
na
mtawala,
Anasikia
zetu
Sala.
Yehovah
El-Elyon-
MUNGU
aliye
juu
sana.
Mungu
hawezi
kutukana.
Yehova
Jireh-
Bwana
atatoa,
NI
yeye
atatuokoa.
Haya
ni
Majina
ya
Mungu,
Yanayoonyesha
ana
nguvu
kuliko
miungu.
Nguvu
kuliko
mabomu,
mikuki
na
marungu.
Majina
yote
mazuri
ni
yako.
Yehovah
Rapha-
Bwana
anayeponya,
Anatibu
magonjwa
yote
yanayosinya.
Yehovah
Nissi-Bwana
ni
bendera
yangu,
Tutamfuata
sote
hapa
kwangu.
Yehovah
Shalom-Bwana
ni
Amani.
Ametuletea
utulivu
toka
zamani.
Haya
ni
Majina
ya
Mungu,
Yanayoonyesha
ana
nguvu
kuliko
miungu.
Nguvu
kuliko
mabomu,
mikuki
na
marungu.
Majina
yote
mazuri
ni
yako.
Yehovah
Rohi-Bwana
mchungaji
wangu,
Amelilinda
taifa
zima
langu.
Yehovah
Tsidkenu-
Bwana
ni
haki
yetu,
Anahakikisha
hakuna
dhuluma
huku
kwetu.
Yehovah
Shammah-Bwana
yupo
hapo.
Tukae
tukijua
Mungu
Yuko
nasi
tukwamapo.
Haya
ni
Majina
ya
Mungu,
Yanayoonyesha
ana
nguvu
kuliko
miungu.
Nguvu
kuliko
mabomu,
mikuki
na
marungu.
Majina
yote
mazuri
ni
yako.
Muumbaji
na
pia
Mpaji,
Mtakatifu
na
pia
Mtukufu,
Mterehemezi
na
pia
Mjenzi,