Afrobit
hisia
huzuni
Mmhmmhmmh king mbenaaa heee
Kiitikio
Umetenda
maajabu
namisiwezikuelezea
Siwezikuelezeaaa
namisiwezikuelezea×2
:Ubeti
wa
kwanza;
Kamba
zile
zamauti
Mimi
zilinizunguka
kwa
hakika
lakini
kwa
uwezo
wako
Bwana
umenifanya
kuwa
hivi
leo,
mitego
mingi
nayo
walitega
njiani
waninase
chini
ya
windo
lao
Bwana
ukaniepusha
mbaliiiii
hataleo
Mimi
ni
mzimaaa.
(Kiitikio)
:Ubeti
wa
pili;
Umeniokoa
matopeni
ambako
walinizamisha
nizamisha
nizamisha
Umenisafisha
kwa
majiiiii
hivi
leo
waniona
Mimi
ninang'aaaa
Yale
mavumbi
yangu
yote
yaliokua
yamenigandia
umenikung'uta
umenikung'utaaaa
hata
Leo