[female vocals] Nina
huzuni
moyoni
Siimbi
tena,
Namlilia
Malebo,
Amekataa
kuokoka,
Nilizoimba
ni
nyingi,
nikimuonya
malebo
bado
hajabadilika,
Sasa
siimbi
nalia
Wewe
ni
wangu,
Tuliyesoma
pamoja,
Michezo
ya
utotoni,
tuliicheza
pamoja
Sasa
ni
watu
wazima,
Na
mimi
nimeokoka,
Malebo
nikimwambia
Yeye
huruka
kimanga,
Nakuita
Malebo,
uje
kwa
Yesu
utubu
yeye
ni
mwenye
huruma
Atakusamehe
kabisa,
Jina
lako
la
Malebo,
litaandikwa
mbinguni
Utakuwa
kiumbe
kipya,
Ya
kale
yote
imepita,
Malebo,
rudi
nyumbani
Yesu
anakupenda,
anakusubiri (
Hallelujah,
amen!)