Oh
Mungu
wetu,
tunainua
mikono
kwako.
Katika
huzuni,
wewe
ndiye
faraja
yetu.
Honore
Ndaishimiye,
tunasimama
na
wewe
leo,
Tunakumbuka
uchungu,
machozi
yanatoka
sana.
Tunawalilia
wale
walioondoka,
Pamoja
na
watoto
wao,
Imala,
mioyo
inauma.
Makayabo,
tunalia
pamoja
nanyi
kwa
mama,
Familia
Varante,
pole
kwa
kuondokewa
na
watoto
wawili,
Zawadi
na
Jeandedie,
wameenda
kwa
Bwana
anatoa
na
Jina
lake
lihimidiwe
milele
na
milele.
Tunakupa
nguvu
Honore,
Yesu
ni
nguzo
yetu,
hatutashindwa
Dieudonne,
pole
kwa
kumpoteza
mtoto
wako
mpendwa,
Familia
Ngunda,
mliyopoteza
wazazi
wenu
wapendwa.
Kibonge
Muhindo,
uchungu
wa
kumpoteza
mtoto
ni
mwingi,
Filipo,
pole
kwa
kumpoteza
baba
yako
Tunajua
huzuni
imetanda,
Yeye
ni
mfariji
mkuu,
katika
giza
la
dunia
na
Mungu
Jina
lake
lihimidiwe
milele
na
milele.
Tunakupa
nguvu
Honore,
katika
Yesu
ni
nguzo
yetu,
hatutashindwa
Familia
Ntigashira
Rubarande,
pole
kwa
safari,
Safari
Ntigashira,
mupenda
Mungu,
tunalia
Familia
Ngerahe,
kwa
watoto
wawili,
Habishuti
na
Baraka,
Pana,
tunajua
uzito
wa
safari
hii
ya
maisha.
Honore
Ndaishimiye,
nakuomba
uwe
na
Mungu
anajua
kila
jambo,
yeye
ana
mipango
tamaa,
nyimbo
hizi
ziwe
dawa
ya
roho,
Tunakuimbia
wewe
na
familia
zote
zenye
huzuni.
Mungu
ndiye
kimbilio,
yeye
atatupa
Itafika
siku
tutakutana
nao
mbinguni
kwa
utukufu.
anatoa
na
Mungu
anatwaa,
Jina
lake
lihimidiwe
milele
na
milele.
Tunakupa
nguvu
Honore,
Yesu
ni
nguzo
yetu,
hatutashindwa
Amen,
Tunakumbuka
wote,
amani
kwa
familia
zote.
Honore,
usilie
tena,
Mungu
yuko
nasi.
Amen,
baraka
ziwe
juu
yenu
daima.