Bongo!
Mama
Mariamu,
mpishi
wa
dhahabu
Tunakula
vizuri,
tunajenga
mwili
Mwili
unajengwa
Na
pishi
bora
linatoka
kwa
mpishi
hodari
Sikiliza
wewe,
msafiri
Kama
njaa
imekukaba,
usijali
wala
huwezi
Wakazi
wa
Mwela
Dawasco,
msihangaike
Kama
unawaza
chakula,
basi
msiogope
Njoo
kwa
Mama
Mariamu,
upate
urembo
Supu
ya
kongoro,
inakupa
Njoo
kwa
Mama
Mariamu,
ule
chakula
bora
Supu
ya
nyama,
chapati
pembeni,
unajua
ni
chai
ya
rangi
Kwa
Mama
Mariamu,
kila
kitu
Wale
wapenzi
wa
asubuhi
na
mapema
Kikombe
cha
chai,
kimejaa
Maharage
yetu,
yamepikwa
kwa
mapenzi
unashiba,
unasahau
huzuni
Pale
mchana,
ugali
unanukia
Unga
tumesaga
wenyewe,
ndio
maana
unajivunia
Wali
wa
Mbeya,
Ifakara
Kama
hupendi
shida,
Njoo
kwa
Mama
Mariamu,
ule
chakula
bora
Supu
ya
nyama,
chapati
pembeni,
unajua
ni
chai
ya
rangi
Kwa
Mama
Mariamu,
kila
kitu
kinaeleweka
Boda
boda,
mafundi,
karibuni
Chakula
cha
uhakika,
bei
zetu
ni
za
Popote
ulipo,
tunakufikia
kwa
haraka
oda
yako
leo,
usibaki
na
njaa
Afya
na
ladha,
ndio
tunavyozingatia
Mama
Mariamu,
jina
linaloaminika
Hatupishi
kawaida,
tunapika
Kila
sahani
inakuacha
na
shauku
Afya
yako
kwanza,
ndio
kauli
mbiu
yetu
Tunakuletea
chakula
chenye
ladha
ya
nyumbani
mwingine,
Mama
Mariamu
ni
kiboko
Chakula
kitamu,
Njoo
kwa
Mama
Mariamu,
ule
chakula
bora
Supu
ya
nyama,
chapati
pembeni,
unajua
ni
furaha
chai
ya
rangi
Kwa
Mama
Mariamu,
kila
kitu
kinaeleweka
Karibu
sana,
Mwela
Dawasco
tunakungoja
Chakula
bora,
afya
bora,
Mama
Mariamu,
pishi
la
uhakika
Poa
sana!