[male vocals] Bwana
ni
nuru
yangu
na
wokovu
wangu
Sitaogopa
kitu,
Amen
Bwana
ni
nuru
yangu
na
wokovu
wangu
Je,
nimwogope
nani?
Bwana
ni
ngome
ya
uzima
wangu
Nitaona
wema
wako
duniani
Katika
nchi
ya
walio
hai
Yesu
u
mwema,
umetenda
makuu
Nasema
asante,
Bwana
Yesu
Bwana
ni
nuru
yangu,
sitatetemeka
Yesu
ni
wokovu
wangu,
sitaanguka
Uwezo
wako
ni
mkuu,
Bwana
Sifa
nakupa
wewe,
utukufu
ni
wako
Nitasimama
imara
katika
pendo
lako
Bwana
ni
nuru
yangu,
Amen
Jeshi
lijapopiga
kambi
juu
yangu
Moyo
wangu
hautaogopa
Vita
vijapotokea
dhidi
yangu
Katika
hili
nitatumaini
Nitaona
wema
wako
duniani
Katika
nchi
ya
walio
hai
Yesu
u
mwema,
umetenda
makuu
Nasema
asante,
Bwana
Yesu
Bwana
ni
nuru
yangu,
sitatetemeka
Yesu
ni
wokovu
wangu,
sitaanguka
Uwezo
wako
ni
mkuu,
Bwana
Sifa
zote
nakupa,
utukufu
ni
wako
Nitasimama
imara
katika
pendo
lako
Bwana
ni
nuru
yangu,
Amen
Neno
moja
nimelitaka
kwa
Bwana
Nalo
hilo
nitalitafuta
Nikae
nyumbani
mwa
Bwana
Siku
zote
za
maisha
yangu
Niutazame
uzuri
wako
Kutafakari
hekaluni
mwako
Glory,
utukufu
ni
wako
Yesu,
wewe
ni
mkuu
Usinifiche
uso
wako,
Mungu
wangu
Usimwache
mtumishi
wako
katika
hasira
Umekuwa
msaada
wangu
siku
zote
Usiniache
wala
usinitupe
Baba
yangu
na
mama
yangu
wakiniacha
Bwana
atanichukua,
atanikubali
Nitaendelea
kumsifu
daima
Bwana
ni
nuru
yangu,
Bwana
ni
nguvu
zangu
Bwana
ni
nuru
yangu,
sitatetemeka
Yesu
ni
wokovu
wangu,
sitaanguka
Uwezo
wako
ni
mkuu,
Bwana
Sifa
zote
zako,
utukufu
ni
wako
Nitasimama
imara
katika
pendo
lako
Bwana
ni
nuru
yangu,
Amen
Nuru
yangu,
wokovu
wangu
Sitaogopa,
sitatetemeka
Bwana
ni
mkuu,
Bwana
ni
mwema
Sifa,
utukufu,
heshima
kwako
Yesu,
Bwana
ni
nuru
yangu,
Amen