A song made by Owiti Arwa Chitu
A song made by Owiti Arwa Chitu
Chituz
YESU KICHAPO
Hakika KICHAPO cha yote ni Yesu,
Hakika kichapo cha magonjwa ni Yesu,
Hakika kichapo cha nguvu ya shida Zote ni YESU,
Kimbilio la walalahoi na walalahai ni Yesu.
Ukiwa mgonjwa umelemewa hujiwezi-Yesu kichapo.
Huna kazi wahangaika huku na kule-Yesu kichapo,
Wasengenywa jina lako ndio lazomewa-Yesu kichapo
Hakika KICHAPO cha yote ni Yesu,
Hakika kichapo cha magonjwa ni Yesu,
Hakika kichapo cha nguvu ya shida Zote ni YESU
Kimbilio la walalahoi na walalahai ni Yesu.
Njaa ni nyingi hakuna namna-Yesu kichapo.
Umedhoofika maradhi ya kila aina-Yesu kichapo,
Mawazo chungu nzima kichwa chauma kila siku-Yesu kichapo
Hakika KICHAPO cha yote ni Yesu,
Hakika kichapo cha magonjwa ni Yesu,
Hakika kichapo cha nguvu ya shida Zote ni YESU
Kimbilio la walalahoi na walalahai ni Yesu.
Kazini fitina na kisirani kila kona-Yesu kichapo,
Wahangaika si Karo za watoto si mipango kukwama-Yesu kichapo.
Hakuna chakula njaa imezidi zaidi-Yesu kichapo,
Hakika KICHAPO cha yote ni Yesu,
Hakika kichapo cha magonjwa ni Yesu,
Hakika kichapo cha nguvu ya shida Zote ni YESU
Kimbilio la walalahoi na walalahai wote ni YESU.
Bwana msumbufu kila wakati vita-Yesu kichapo.
Bibi kila kukicha ni kelele usiku kucha-Yesu kichapo.
Watoto watukutu shuleni wanachoma mabweni-Yesu kichapo.
Jirani NI kisirani hata pakuanikia nguo ni ugomvi-Yesu kichapo.
Hakika KICHAPO cha yote ni Yesu,
Hakika kichapo cha magonjwa ni Yesu,
Hakika kichapo cha nguvu ya shida Zote ni YESU
Kimbilio la walalahoi na walalahai ni Yesu.
YESU kichapo
YESU suluhisho
YESU kichapo
YESU suluhisho.
Pick one photo or multiple for a slideshow (up to 10) — we'll create a video with your track, ready for TikTok, Reels & Stories
Opening gallery…
Select your photo
Cooking your video...
We'll send it straight to you when it's hot 🔥
You can close this page — we'll deliver it directly to you.
Your video is ready!
It's been sent to your WhatsApp. Save it, then post it to your socials below.
Tag @frobits.ai when you post
Get your own artist profile on Spotify, Apple Music & 150+ platforms. First song included — add more for just each.
Millions of listeners are waiting to hear your sound
Annual subscription · First song included · Add more songs for just each · Cancel anytime
Annual subscription. Auto-renews yearly. Cancel anytime — your song stays live until the paid period ends.