[male vocals] Yeah,
ah,
mmm
Ezbk
TZ,
sikiliza
tu
Butembo
yetu,
nini
imetokea?
Butembo
ya
zamani
ilikuwa
nzuri
sana
Enzi
zile
watu
walikuwa
na
upendo
na
amani
Ulikuwa
unaoa,
sherehe
inashamiri
mtaani
Sasa
hivi
hali
imekuwa
ya
huzuni
na
utungu
Maendeleo
ya
mji
yameleta
maumivu
mengi
Mazingira
yameharibika,
roho
zimekuwa
ngumu
Ezbk,
ona
Butembo
imekuwa
butsungu
Hakuna
upendo,
kila
mtu
ni
adui
wa
mwenzake
Unamuua
ndugu
yako
kisa
tu
anafurahia
maisha
Rafiki
anakuonea
wivu
kisa
unataka
kupiga
hatua
Butembo
ya
leo,
imekuwa
kama
kaburi
Vidjana
wamejaa
hofu,
hawajui
la
kufanya
Dadazetu
wanatamani
kuolewa
lakini
tamaa
imewatawala
Wanajisahau,
wanatafuta
njia
za
mkato
kila
uchao
Utamaduni
wetu
umepotea
kwenye
dimbwi
la
dhambi
Tuache
buroho,
turudi
kwenye
njia
za
kweli
Macho
yenu
yafunguke,
tujenge
upya
mji
wetu
Ezbk,
ona
Butembo
imekuwa
butsungu
Hakuna
upendo,
kila
mtu
ni
adui
wa
mwenzake
Unamuua
ndugu
yako
kisa
tu
anafurahia
maisha
Rafiki
anakuonea
wivu
kisa
unataka
kupiga
hatua
Butembo
ya
leo,
imekuwa
kama
kaburi
Oh,
dunia
hii
ni
zero,
hakuna
wa
kudumu
Mupunguze
buroho,
tusiwe
kama
kamba
iliyokatika
Mukomale
kifikra,
tujitambue
sisi
ni
nani
Umoja
wetu
ndio
nguvu
ya
kurudisha
heshima
Ezbk,
unajua
ukweli
mchungu
ni
huu
Butembo
yetu
inahitaji
nuru
mpya
ya
mioyo
Tuache
tamaa,
tuwape
vijana
wetu
matumaini
Sio
kuuana,
sio
kuoneana,
ni
kupendana
tena
Maendeleo
hayapaswi
kututenganisha
sisi
kwa
sisi
Ezbk,
ona
Butembo
imekuwa
butsungu
Hakuna
upendo,
kila
mtu
ni
adui
wa
mwenzake
Unamuua
ndugu
yako
kisa
tu
anafurahia
maisha
Rafiki
anakuonea
wivu
kisa
unataka
kupiga
hatua
Butembo
ya
leo,
imekuwa
kama
kaburi
Yeah,
mmm
Butembo,
amka,
Ezbk
TZ
Tuwe
na
upendo
tena,
baby
Badilika,
mmm,
yeah