[male vocals] Mungu
mwenye
nguvu
Na
mwenye
uweza
Ninakuabudu,
We
Bwana
Kwa
matendo
yako
Hallelujah,
utukufu
kwako
Nimeonja
wema
wako
Ulitawanyisha
bahari
shamu
Likawa
njia ,
njia
kavu
baba
Wewe
ni
Mungu
Umeniridhisha ,
ufalme
wako
Ninakushukuru
Kwa
Neema
hiyo
Uinuliwe
Kama
sio
wewe
ningekuwa
wapi?
Kwa
huruma
zako,
zako
Bwana
Umenipa
uhai