Frobits
🎵 A song made on Frobits

Wewe Ni Mungu

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

[male vocals] Twa

kushuhudiya

wewe

ni

mungu

Twa

Kutanganza

wewe

ni

mungu

Chini

ya

juwa

Juu

mbinguni

Akuna

mungu

kama

wewe

Chini

ya

juwa

Juu

mbinguni

Pekee

Yako

unatawala

Mbingu

na

dunia

viumbe

viako

eh

Jéhovah

Vinaonesha

nguvu

zako

za

ajabu

Nani

kama

wewe

wa

mapendo

isiyo

mwisho,

Nani

Kama

wewe

wa

huruma

bila

mmupaka

Viumbe

viote

karibuni

tumuimbiye,

Bwana

usifiwe

Bwana

ubarikiwe

Bwana

uinuliwe

milele

Mungu

wa

israeli

Léo

mungu

wa

Quellejoie

Tshilumba,

mungu

wa

Abrahamu,

Mungu

wa

isaka,

yakobo

Léo

mungu

wa

Quellejoie

Tshilumba

Usifiwe

milele

kwa

uwepo

wako

More songs by keljwa Listen to songs created by others
FROBITS