[male vocals] Wazazi
wetu,
leo
ni
kumbukumbu
yenu,
Leo
ndiyo
siku
aliyo
ifanya
bwana!
Leo
ndiyo
siku
muliyo
agana
mbele
za
Mungu
kupendana,
kuvumiliyana
nakudekezana.
Baba
Alphonse
MALIRO
na
mama
Henriette
SIKULI,
ndowa
yenu
ni
kama
shule
la
msingi
na
limeleta
onjo
nzuri
kwetu
sisi
watoto
wenu.
Kwahiyo
furahini
katika
bwana.
Nasema
tena
furahini. :/:
Alphonse
MALIRO
na
Henriette
SIKULI,
Mungu
awabariki,
Azidishe
upendo,
busara
na
hekima
kati
yenu(×2) :/:
Alphonse
MALIRO
na
Henriette
SIKULI,
Mungu
awabariki,
Azidishe
upendo,
busara
na
hekima
kati
yenu(×2)
Mutufunze
nasi
zaidi
na
zaidi
katika
shule
lenu
bora,
ili
tuingiye
piya
katika
darasa
kuu
ya
waana
wa
Mungu,
litakalo
tufanya
piya
kuwa
na
nafasi
mbele
ya
Mungu
natuwe
mufano
bora
kwa
waliyo
nyuma
yetu.
Sikwamba
hamuna
shida,
lakini
mumejuwa
kuvumiliyana,
Sikwamba
hamuna
mazaifu
lakini
mumejuwa
kuchukuliyana,
Sikwamba
ninyi
niwatakatifu
lakini
mumejuwa
kuwa
wajasiri. :/:
Alphonse
MALIRO
na
Henriette
SIKULI,
Mungu
awabariki,
Azidishe
upendo,
busara
na
hekima
kati
yenu(×2) :/:
Alphonse
MALIRO
na
Henriette
SIKULI,
Mungu
awabariki,
Azidishe
upendo,
busara
na
hekima
kati
yenu(×2)
Tarehe
tatu
mwezi
wa
tisa,
iwe
kumbukumbu
ya
mahusiyano
yenu
na
Mungu,
sababu
yeye
ndiye
nguzo
kubwa
katika
unyumba
wenu.
Mukimuomba
kwa
imani
naye
atawajibu.
Couple
MALVIR
inawatakiya
maisha
marefu
na
sikukuu
njema
ya
ukumbusho
wa
ndowa
yenu.
Pamoja
na
Mungu
hakuna
kigumu. :/:
Alphonse
MALIRO
na
Henriette
SIKULI,
Mungu
awabariki,
Azidishe
upendo,
busara
na
hekima
kati
yenu.
Alphonse
na
Henriette,
Alphonse
na
Henriette
Kila
la
heri
awape
mwenyezi
Mungu
Baba
Alphonse,
Umejipamba
kwa
heshima
na
fahari
Mpenzi
Henriette
wako
kando,
wote
mnang'aa
Macho
yanapokutana
ni
ulimwengu
mpya
Ahadi
mliyotoa
ni
nguzo
ya
kweli
Hatua
kwa
hatua,
mnajenga
msingi
Msingi
wa
amani
na
furaha
tele
Familia
inashangilia
kwa
sauti
kuu
Upendo
umeota
mizizi
imara
sana
Kumbukumbu
hii
itaishi
milele
Katika
dhoruba
na
katika
utulivu
Alphonse,
simama
imara
Furaha,
amani,
baraka
za
milele
Kwa
Alphonse
Maliro
na
familia