Kolo
mimi
kwa
penzi
lako,
mimi
kolo
Umenitoa
mbali,
mpenzi
wangu
Umenifunza
kupenda
kwa
moyo
wote
Umenifanya
niipende
hii
dunia
Sababu
ya
mapenzi
yako
matamu
Nilijifanya
mikwale,
nilikuwa
mgumu
Lakini
mbona
sasa
nimelegea
na
kutulia?
Nalia,
kovu
la
moyo
halitatibika
Kwa
mapenzi
uliyonipa,
sina
pa
kwenda
Kovu
la
moyo
halitatibika
Eeh,
nimezama,
nimezama
kwako
Penzi
ulonipa,
kweli
nilidata
Sikutaka
niambiwe
chochote
na
yeyote
Nilikuwa
kichaa,
nilikuwa
kiziwi
Kisa
upendo
wako,
oh
mpenzi
Sasa
nahisi
maumivu
ndani
ya
nafsi
Kovu
hili
la
upendo
linanitesa
hivi
Nalia,
kovu
la
moyo
halitatibika
Kwa
mapenzi
uliyonipa,
sina
pa
kwenda
Kovu
la
moyo
halitatibika
Eeh,
nimezama,
nimezama
kwako
Kolo
mimi
kwa
penzi
lako,
mimi
kolo
Nimepotea
kwenye
penzi
lako,
oh
baba
Kovu
hili
haliwezi
kufutika
Naishi
nalo
ndani
ya
moyo
wangu
Nalia,
kovu
la
moyo
halitatibika
Kwa
mapenzi
uliyonipa,
sina
pa
kwenda
Kovu
la
moyo
halitatibika
Eeh,
nimezama,
nimezama
kwako
Nalia,
kovu
la
moyo
halitatibika
Kwa
mapenzi
uliyonipa,
sina
pa
kwenda
Kovu
la
moyo
halitatibika
Eeh,
nimezama,
nimezama
kwako (
Kovu
la
moyo,
oh) (
Safi,
safi
sana) (
Mapenzi
haya,
oh
mpenzi) (
Kovu
la
moyo
halitatibika)