Frobits
🎵 A song made on Frobits

Nipo Njia Panda

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

[solo

lead

vocal —

no

backing

vocals,

no

harmonies,

single

vocal

track

only] (

Mmm,

yeah)

Nakutafuta,

baby

Napatatabu

juu

yako,

oh

Nakuatafuta

siku

zote,

lakin

sikuoni

Napatatabu

moyoni,

baridi

mwilini

Hasa

nikisikia

marashi

yako

hewani

Bado

unaishi

ndani,

tena

humu

ndani

Kama

ndoto

za

usiku,

unanijia

Kisha

unapotea

ghafla,

unanivuruga

Kama

barafu

juu

ya

sufuria

jikoni

Unayeyuka,

unaniacha

na

huzuni

Umenikimbia,

umeenda

zako

Nateseka

kwa

ajili

ya

penzi

lako

Upo

wapi,

mpenzi,

unanipa

dharau?

Kejeli

zako

zinanichoma,

sina

hata

amani

Nakutafuta,

baby,

nakutafuta

Moyo

wangu

unadhohofika,

unakufa

Kosa

sina,

kitu

nakuumia

ndani

kwa

ndani

Kila

dakika

nawaza

ulivyoniacha

mtaani

Nimebakia

mpweke,

nuru

imepotea

Mwili

unadhohofika,

penzi

limenichokea

Ivi

nani

kaumba

haya

mapenzi?

Yananitesa,

yananipa

mikosi

Ninakumiss,

baby,

naumia

sana

Kurudi

kwako

ndio

ombi

langu

la

maana

Umenikimbia,

umeenda

zako

Nateseka

kwa

ajili

ya

penzi

lako

Upo

wapi,

mpenzi,

unanipa

dharau?

Kejeli

zako

zinanichoma,

sina

hata

amani

Nakutafuta,

baby,

nakutafuta

Moyo

wangu

unadhohofika,

unakufa (

Ooh,

come

here)

Kama

nuru

imezimika,

giza

limetawala

Sina

la

kufanya,

mapenzi

yananikabili

Nakuhitaji,

rudi

kwangu

sasa

hivi

Usiniache

niteseke,

usiniache

hivi

Natamani

kusikia

sauti

yako

tena

Tuwe

wote,

tuishi

kwenye

malengo

mema

Ila

naona

ukimya

ndio

jibu

lako

Unanitesa

kwa

kukwepa

penzi

langu

la

dhati

Nipo

njia

panda,

sijui

nifanye

nini

Mapenzi

yamenikalia

kooni,

baby

Umenikimbia,

umeenda

zako

Nateseka

kwa

ajili

ya

penzi

lako

Upo

wapi,

mpenzi,

unanipa

dharau?

Kejeli

zako

zinanichoma,

sina

hata

amani

Nakutafuta,

baby,

nakutafuta

Moyo

wangu

unadhohofika,

unakufa

Nakutafuta,

baby

Bado

unaishi

moyoni

mwangu

Usiniache

niteseke (

Yeah,

mmm)

Nirudie,

mpenzi.

More songs by Gohalema Listen to songs created by others
FROBITS