(Safi!
Twende!
Eeh
baba!)
Kila
hatua
ni
hatua
Usikate
tamaa,
songa
mbele
Tusichoke
katika
kutenda
mema
Tutavuna
kwa
wakati
wake
Tusipozimia
roho,
tusiwe
na
shaka
Baraka
ziko
mlangoni,
subira
yavuta
kheri
Tusichoke
katika
kutenda
mema
Tutavuna
kwa
wakati
wake
Tusikate
tamaa
kwenye
safari
Mema
ni
akiba
yetu
ya
milele
Tusaidie
wahitaji,
yatima
na
wajane
Masikini,
waliokataliwa
na
jamii
Wagonjwa,
wafungwa,
wenye
huzuni
Tuwasogeze
karibu,
tuwape
tumaini
Tusichoke
katika
kutenda
mema
Tutavuna
kwa
wakati
wake
Tusikate
tamaa
kwenye
safari
Mema
ni
akiba
yetu
ya
milele
Tusamehe
waliotukosea
kwa
upendo
Tuwatembelee
wasio
na
mfariji
Tuwaombee,
tuwavishe,
tuwalishe
wenye
njaa
Wewe
ni
mwakilishi
wa
Mungu
hapa
duniani
Apandacho
mtu
ndicho
atavuna
Panda
mema,
uvune
mema
siku
zote
Panda
upendo,
furaha
na
amani
Tusingoje
shukurani,
Mungu
anatazama
Tusichoke
katika
kutenda
mema
Tutavuna
kwa
wakati
wake
Tusikate
tamaa
kwenye
safari
Mema
ni
akiba
yetu
ya
milele
Tusichoke! (
Safi!)
Endelea
kupanda
mema (
Bongo!)
Twende
pamoja,
tutavuna
kwa
wakati (
Asante,
eeh
baba!)