Frobits
🎵 A song made on Frobits

Wewe Ndiwe Kila Kitu

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

Bwana,

wewe

ni

mwamba

wangu

Sifa

zikufikie,

wewe

Mungu

mkuu

Sijawahi

kuona

kiumbe

kisichoonekana

Kwa

macho

ya

nyama

Lakini

kiumbe

hicho

ndicho

kinafanya

maamuzi

yote

Na

kutoa

miongozo

ya

namna

ya

kuishi

hapa

duniani

Kiumbe

hicho

si

kingine

bali

ni

wewe

Baba

Mungu

mkuu

Hakika

huonekani

ila

uwepo

wako

ni

dhahiri

Nahisi

mguso

wako

kila

siku

katika

maisha

yangu

Bwana,

wewe

ni

kila

kitu

kwangu,

haleluya!

Oh,

Mungu

wangu,

wewe

ni

kila

kitu

Bila

wewe

mimi

siwezi

kufika

popote

Nakuomba

kaa

nami

ni

usiku

tena,

usiniache

gizani

peke

yangu

Bwana

Uwepo

wako

ndiyo

nuru

yangu

ya

kila

siku

Asante

Yesu,

utukufu

ni

wako

pekee

Kuna

wakati

natamani

nikuguse

kwa

mikono

Natamani

nikukumbatie,

tusemezane

mdomo

kwa

mdomo

Lakini

ninaikosa

hiyo

fursa

ya

kibinadamu

Navunjika

moyo

kidogo,

lakini

wewe

wajua

yote,

maana

kile

nilichotaka

nakuta

tayari

umenitendeaa

Yaani

Kabla

sijafungua

kinywa

kukuambia

haja

zangu

Tayari

umeshanifanyia,

umenitendea

kwa

ukarimu

Hapo

naishiwa

nguvu,

nabaki

nikishangaa

Upendo

wako

hauelezeki

kwangu,

Oh,

Mungu

wangu,

wewe

ni

kila

kitu

Bila

wewe

mimi

siwezi

kufika

popote

Nakuomba

kaa

nami

ni

usiku

tena,

usiniache

gizani

Bwana

peke

yangu

Uwepo

wako

ndiyo

nuru

yangu

ya

kila

siku

Asante

Yesu,

utukufu

ni

wako

pekee

Siwezi

kwenda

hatua

moja

bila

wewe

Siwezi

kupumua

bila

pumzi

yako

ndani

yangu

Roho

Mtakatifu,

niongoze,

nishike

mkono

Sitaogopa,

sitahofu,

maana

uko

nami

Kila

hatua

ninayopiga

ni

kwa

neema

yako

Unanifuta

machozi,

unanibariki,

umenipa

tumaini

jipya

Sitasita

kukuabudu,

sitasita

kukuinua

Maana

wewe

ndiye

Alpha

na

Omega

wangu

Kaa

nami

ni

usiku

tena,

Mungu,

usiniache

gizani

Bwana

Oh,

Mungu

wangu,

wewe

ni

kila

kitu

Bila

wewe

mimi

siwezi

kufika

popote

Nakuomba

kaa

nami

ni

usiku

tena,

usiniache

gizani

Bwana

Yesu.

Uwepo

wako

ndiyo

nuru

yangu

ya

kila

siku

Asante

Yesu,

utukufu

ni

wako

pekee

Bila

wewe

mimi

sifiki

popote

Kaa

nami

Yesu,

kaa

nami

Bwana,

kaa

nami

milele

Asante

Yesu,

sifa

ni

zako,

amina

Bwana

wewe

ni

kila

kitu

kwangu,

amen.

More songs by Mch Listen to songs created by others
FROBITS