[male vocals] WCB!
Twende!
Shedruck
Ruben
na
Dorisi,
upendo
wetu
ndio
nguvu.
Nashukuru
sana
wazazi
wangu
leo,
Baba
mzee
Ruben,
baraka
zako
ni
tele,
Mama
yangu
kipenzi,
kwa
malezi
bora,
Umekuwa
mwanga,
katika
kila
hatua.
Mimi
na
mke
wangu,
Dorisi
mama
wawili,
Tunasema
asante,
kwa
upendo
na
uwezo,
Baba
wakwe
zangu,
nyinyi
ni
baraka,
Tunawaombea
afya,
na
miaka
mingi
sana.
Shedruck
nawapenda
ndugu
zangu
nyote
Dada
yangu
Media
na
wadogo
zangu
Ogideni,
Geboleni,
Defakius.
Shedruck
na
Dorisi,
upendo
wetu
wa
dhati,
Baraka
kutoka
kwa
wazazi,
ni
zawadi
ya
thamani,
Nawapenda
sana,
wazazi
wangu
wote,
Maisha
marefu,
afya
njema
kwenu
kila
siku.
Kwako
kipenzi
cha
roho,
Dorisi
mama
wawili,
Nakupenda
sana,
wewe
ni
msaada
kwangu,
Ninapotoka
nje,
kutafuta
riziki,
Unapiga
goti,
unaniombea
kwa
Mola.
Wewe
ni
faraja,
wewe
ni
nuru
yangu,
Sitoacha
kukuimba,
mke
wangu
mpendwa,
mama
wa
watoto
wetu
kufungua
mimba
chetu
Jaines,
uzao
wetu
pendwa
wa
watoto
wetu
mapacha
warembo
wanaofanana
Ivona
na
Ideta,
Kinala
wangu
wa
nguvu
Azibon,
Javani
na
Ivetha
nawapenda
wanangu
Shedruck
na
Dorisi,
upendo
wetu
wa
dhati,
Baraka
kutoka
kwa
wazazi,
ni
zawadi
ya
thamani,
Nawapenda
sana,
wazazi
wangu
wote,
Maisha
marefu,
afya
njema
kwenu
kila
siku.
Nawashukuru
sana
ndugu
jamaa
marafiki
zangu
Familia
ya
mzee
Leonard
Rwayege,
Marafiki
zangu
mmekua
msaada
kwangu
Veni,
Pote,
Gelazi,
Robert,
Kaiju,
Enock,
Peni,
Radi,
Deyani
na
Sperito
na
wengine
wengi
mbarikiwe
sana.
Tutazidi
kushikana,
kwenye
kila
jambo.
maisha
ya
furaha,
tunajivunia
nyinyi,
Busilanga
ni
nyumbani,
Kisana
senta
ya
kati
ndipo
masikani
upendo
ni
nguzo,
Shedruck
Ruben,
anasema
asante.
Mke
wangu
mama
wawili,
ukweli
ni
kwamba
siwezi
kuwa
mkamilifu
lakini
naweza
kuahidi
kua
nitakuheshimu,
nitakujali
na
nitakuwa
upande
wako
katika
nyakati
zote.
Nakupenda
sana,
watoto
wangu
wote,
Maisha
marefu,
afya
njema
kwenu
kila
siku.
Baraka
tele
kwa
wazazi
wetu,
Dorisi,
mke
wangu
kipenzi,
nakupenda,
Shedruck
Ruben,
daima
kwako,
I
love
you
my
wife
Ni
Nzihira
tena
kwenye
beat!