A song made by josephlaizer689
A song made by josephlaizer689
Nataka Niseme Nanyi Kidogo
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Kwani Hamjui
Zaka Ni Utapeli
Iliyochukua sura Ya Baraka Kwa Jina La kumtumikia Mungu Kwa Fedha zako Kumbe Wanakula Wao Kinyume Na Agizo la Torati
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Neno Linasema Mungu Hatumikiwi Kwa Mikono Ya Wanadamu Kwamba Anahitaji Kitu Chochote
Kwa Maana Yeye Anayewapa Watu Pumzi Na Uhai Na Vitu Vyote Pia
Soma Matendo Kumi Na Saba Mstari Wa Ishirini Na Tano
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Fungu La Kumi Makanisani Ni Utapeli Unaowafanya Waamini wajihisi Wenye Hatia Wakati soma Waefeso Moja Mstari wa Nne Unasema Wazi Kwamba Mwamini Hana Hatia Mbele zake Mungu Neno Pia Linasema Mungu Anapenda Yeye Atoae Kwa Moyo Wa Kupenda Wala Si Kwa Huzuni wa Kwa Lazima Bali Kwa Moyo Wa Ukarimu
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Kama Mnatoa Zaka Shikeni Na Sabato Ya Siku Na Sheria zote Maana Ashikae Sheria zote Akajikwaa Katika Neno Moja Amekosa Juu Ya Yote Yakobo Mbili Mstari Wa Kumi Na Wagalatia tatu Mstari Wa Kumi
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Kwanza Zaka Sio Fedha Kama Mnavyotapeliwa Maandiko Matakatifu Yanaeleza Wazi Mungu Mtakatifu Aliagiza Itolewe Zaka Ya Wanyama Na Nafaka soma Kumbukumbu la Torati Kumi Na Nne Mstari Wa Ishirini Na Mbili Hadi Ishirini Na Tatu
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Si Kwamba Hatujui Kuhusu Malaki 3 Lakini Mwasoma Vibaya Ukitaka Kuelewa Soma Kuanzia Sura Ya Kwanza Hadi Sura Ya Nne utagundua Ujumbe Ulikuwa Ni Kwa Ajili Ya Israeli
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
Nataka Niwaulize Je Tutoe Fungu la Kumi Ili Tuokoke Au Tumaini katika Kazi Timilifu Ya Msalaba Ili Tuokolewe Kipi Kinaokoa Kati Ya Zaka Na Kazi Ya Msalaba??
Sisi Tunajua Sisi Na Vitu Vyote Tu Mali Ya Bwana Wala Hatumpimii Asilimia Bali Chochote Kitakachohutajiwa Kwa Ajili Ya Kusudi Lake Nitatoa Kwa Moyo Wa Ukarimu
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Ruushwa
The Grace Walk