Frobits
🎵 A song made on Frobits

Umeharibu Nyumba

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

[male vocals] Chituz

RUKIA

MDAKU

Hii

ni

hadithi

ya

Mama

Rukia

Ni

mama

ambaye

kila

Jambo

alirukia,

Kila

mtindo

alidandia,

Kila

mwanamume

alimkimbilia,

Mama

aliyependa

Sana

mambo

kudandia,

Umbea

WA

kila

aina

alipapia,

Wanaume

aliwasaka,

kapuni

akawatia,

Kila

Jambo

lifanyikalo

Rukia

alilirukia

Rukia

hatulii

kwake,

Mama

kiguu

na

njia.

Ni

mama

ambaye

alisambaza

kila

udaku,

Rukia

na

udaku,

kama

bati

na

smaku,

Alitoka

asubuhi

na

kurudi

jioni

kama

kuku,

Mama

hatulii,

aende

kule

atokeze

na

huku!

Jambo

likiharibika,

kijiji

chote

chamshuku,

Mbali

na

udaku

alipenda

Sana

chukuchuku!

Hii

ni

hadithi

ya

Mama

Rukia,

Ni

mama

ambaye

kila

Jambo

alirukia,

Kila

mtindo

alidandia,

Kila

mwanamume

alimkimbilia,

Rukia

siku

Moja

akaamua

kumwachia

mume,

Kamwacha

mume

kaendea

paka

shume,

Mume

alilia

Kwa

uchungu

kalaumiwa

si

dume,

Rukia

alimwacha

na

mtoto

mchanga,

Wanakijiji

wote

waliduwa

na

kushangaa

Rukia

kayarukia

ya

dunia.

Hii

ni

hadithi

ya

Mama

Rukia,

Ni

mama

ambaye

kila

Jambo

alirukia,

Kila

mtindo

alidandia,

Kila

mwanamume

alimkimbilia,

Rukia

alizurura

kila

mtaa

kama

kichaa,

Alikoenda

alitupwa

nje

hakuwa

anafaa

Jina

lake

lilitambaa

Kwa

ubaya

kila

mtaa,

Rukia

hakukoma,

alikuwa

mdaku

Yule

WA

hakuna

kupoteza

masaa,

Mwisho

WA

siku

akajipata

Kwa

lile

la

takataka

jaa!

Hii

ni

hadithi

ya

Mama

Rukia,

Ni

mama

ambaye

kila

Jambo

alirukia,

Kila

mtindo

alidandia,

Kila

mwanamume

alimkimbilia

Baada

ya

Miaka

aliamua

kuwa

mwenda

tezi,

Akaamua

kuwa

anarudi

Kwa

wake

mpenzi,

Aliyemwacha

na

mtoto

mchanga,

Kuenda

alipomwona

mtoto,

Mtoto

mwenyewe

alishangaa!

Hii

ni

hadithi

ya

Mama

Rukia,

Ni

mama

ambaye

kila

Jambo

alirukia,

Kila

mtindo

alidandia,

Kila

mwanamume

alimkimbilia

Mpenzi

wake

WA

zamani

alinyanyua

njora

pamoja

na

bakora,

Alimfukuza

kama

MWIZI

na

mkora,

Rukia

asijue

ni

vipi

atachora,

Rukia

alilia

akirukaruka

Rukia

alipiga

nduru

akipayuka

Rukia

alilalama

akiboboka

Rukia

alijibwaga

chini

akifyokafyoka

Kweli

mwenda

tezi

na

omo

marejeo

ni

ngamani

Hii

ilikuwa

hadithi

ya

RUKIA.

More songs by Owiti Listen to songs created by others
FROBITS