[male
vocals] (
TSC
NO.465811)
T.
S.
C
MIAKA
SITINI —
HADITHI
YA
UTUKUFU
[INTRO – Afrobeat] La-la-la-la-la-la-la!
Ooh-ooh-ooh-ooh-ooh!
Mmmh-mmmh-mmmh-mmmh!
T.
S.
C!
Miaka
sitini!
Hadithi
ya
utukufu!
[BETI YA 1] Miaka
sitini,
safari
ya
fahari,
Ilianza
zamani,
tukaanza
safari,
Miaka
ya
matumaini,
machozi
na
shangwe,
Vizingiti
na
kona,
lakini
tukasonga
mbele.
Kulikuwa
na
hofu,
kulikuwa
na
majonzi,
na
machozi,
Bomblast
ikaja,
ikatuacha
na
majeraha
moyoni,
Co-operative
House,
Booooom!
Oooooooh,
OOOOh!
kumbukumbu
haifutiki,
Lakini
T.
S.
C
ilisimama,
haikusalimu
amri.
[PRE-CHORUS] Chaki,
chati,
mtoto
na
darasa,
Miaka
ipite,
maendeleo
yatuangaza,
Mishumaa
sitini,
ikiwaka
kwa
mwanga,
Mbegu
tulizopanda,
leo
zinazaa
matunda.
[CHORUS] Teacher
service
Commission,
Teachers
Service
commission,
miaka
sitini!
Hadithi
ya
utukufu,
twaiimba
kwa
shangwe!
Teachers
Service
commission,
miaka
sitini!
Mwalimu
tunamlinda,
taaluma
tunaiinua
juu!
Chaki,
chati,
mtoto
na
darasa,
Miaka
ipite,
maendeleo
yatuangaza,
Ndoto
na
matendo,
elimu
na
maadili,
T.
S.
C
miaka
sitini,
tunasonga
kwa
bidii!
[BETI YA 2] Tumeilinda
taaluma,
tumeilinda
heshima,
Mwalimu
akihudumu
kwa
moyo
na
hekima,
Bwana
na
Bi
mwalimu,
tayari
kuelekeza,
Watoto
kutoka
chekechea,
hadi
shahada
kufikia.
Hatua
kwa
hatua,
twapanda
juu,
T.
S.
C
na
walimu,
daima
bega
kwa
bega
tu,
Walimu
ni
walezi,
waumbaji
na
walinzi,
Wajenzi
wa
taifa,
wapandaji
wa
mbegu.
[CHORUS] Teachers
Service
commission.
Miaka
sitini!
Hadithi
ya
utukufu,
twaiimba
kwa
shangwe!
Teachers
Service
commission
miaka
sitini!
Mwalimu
tunamlinda,
taaluma
tunaiinua
juu!
Kutoka
darasani,
chaki
mkononi,
Hadi
skrini
za
kidijitali,
mwanga
machoni,
Kutoka
mwalimu
mwanafunzi,
hadi
shahada
ya
juu,
Sayansi
na
sanaa,
tukapanda
juu.
T.
S.
C,
wajibu
wako
ni
mkubwa,
Kumlea
mwalimu,
taaluma
ikaendelea
kukua,
Washauri,
walezi,
wajenzi
wa
taifa,
Walinda
kesho,
kwa
elimu
ya
maana.
[BRIDGE – Call & Response] Mwalimu! —
Tupo
pamoja!
T.
S.
C! —
Tupo
pamoja!
Miaka
sitini! —
Tupo
pamoja!
Taaluma! —
Tunaikuza!
Mwalimu! —
Tunamlinda!
Taifa! —
Tunalijenga!
[CHORUS] Ni
T.
S.
C
miaka
sitini!
Ee!
Miaka
sitini!
Hadithi
ya
utukufu!
Ee!
Hadithi
ya
utukufu!
[BETI YA 4 – TIMEC] T.
S.
C
humtia
moyo
mwalimu,
Katika
dhiki,
katika
shangwe,
humwinua
mwalimu,
TIMEC
ni
chombo
cha
matumaini,
Kutoka
huzuni
hadi
shangwe
za
moyoni.
Kutoka
upweke
hadi
kujieleza,
Mwalimu
akasimama,
akapata
nguvu
ya
kuendelea,
Mwalimu
hufundisha,
mwalimu
hushinda,
Hupanda
mbegu
leo,
kesho
mavuno
yaibuka.
Huotesha
ndoto
kwa
vijana
wetu,
Huzimwagilia
kwa
hekima
na
juhudi
zetu,
Kesho
yao
ni
leo
tunayoijenga,
Kwa
elimu,
maadili
na
kazi
yenye
tija.
[CHORUS] Chaki,
chati,
mtoto
na
darasa,
Miaka
ipite,
maendeleo
yatuangaza,
Mishumaa
sitini,
ikiwaka
kwa
mwanga,
Mbegu
tulizopanda,
leo
zinazaa
matunda.
[BETI YA 5 – WITO WA TAIFA] Miaka
sitini,
tazama
utukufu,
Mafundi,
madaktari,
wachezaji
kwa
ustadi
mkuu,
Mafundi
umeme,
madereva
barabarani,
Wataalamu
wa
kesho,
walilelewa
darasani.
Kutoka
darasa
moja
hadi
taifa
zima,
Mwalimu
ndiye
mbegu,
elimu
ndiyo
mvua,
Kilichopandwa
jana,
leo
kinaonekana,
T.
S.
C
na
mwalimu,
taifa
linaendelea.
[ [BETI YA 7 – MIFUMO YA ELIMU] Sitini
na
sita
hadi
themanini
na
tano,
Saba-nne-mbili-tatu,
historia
hiyo
tunaitazama,
Themanini
na
tano
hadi
elfu
mbili
na
kumi
na
saba,
Nane-nne-nne,
mfumo
ukatuongoza.
Sasa
CBC,
CBE
ikaja,
Umahiri
na
uwezo,
mtoto
akavumbua,
T.
S.
C
pamoja
na
walimu,
jukumu
likawa
kubwa,
Kumwandaa
mwanafunzi
kwa
dunia
inayobadilika.
[BREAK – Spoken Afrobeat] Miaka
sitini!
Historia
si
hadithi
tu—
Ni
safari!
Ni
walimu!
Ni
watoto!
Ni
taifa!
[BETI YA 8 – TEKNOLOJIA] Kutoka
karatasi,
hadi
kidijitali,
Kutoka
malipo
ya
mkono,
hadi
njia
ya
mtandao
wa
hali,
Mshahara
wafika
kupitia
T.
PAY,
Teknolojia
mbele—
T.
S.
C
iko
sawa!
T-PAD
kwa
tathmini,
maendeleo
yakapanda,
Mwalimu
ajitathmini,
taaluma
ikaendelea
kustawi,
Hakuna
kurudi
nyuma,
twasonga
mbele,
Teknolojia
na
taaluma,
tukishikana
mikono
tele.
[BRIDGE – RHYTHMIC] Kulinda
mwito! —
T.
S.
C!
Kuimarisha
taaluma! —
T.
S.
C!
Kumlea
mwalimu! —
T.
S.
C!
Kuinua
hadhi! —
T.
S.
C!
Kujenga
taifa! —
T.
S.
C!
[FINAL CHORUS – BIG AFROBEAT] T.
S.
C,
T.
S.
C,
miaka
sitini!
Hadithi
ya
utukufu,
twaiimba
kwa
shangwe!
T.
S.
C,
T.
S.
C,
miaka
sitini!
Mwalimu
tunamlinda,
taaluma
tunaiinua
juu!