[male vocals] A
ray
skeedo
Aaaah
Oooh (
Verse)
Ndio
Hali
ya
mwanadamu
Unamsaidia
Leo
na
kesho
anakusaliti
Kweli
binadamu
hawana
shukran
Unaedhani
rafiki
kumbe
ndio
hadui
Kuishi
na
watu
ni
kazi
Binadamu
hathaminiki
Leo
rafiki ...
kesho
mnafiki
Kikulacho
ki
nguoni
mwako
Sio
kila
rafiki
ni
rafiki
wa
maana (
Chorus)
Endelea
kutende
mema
ooh
ooh
Usingoje
kupongezwa
ooh
ooh
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee
Endelea
kutende
mema
ooh
ooh
Usingoje
kupongezwa
ooh
ooh
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee (
Verse)
Ishi
maisha
Yako
Wacha
mchunguzano
Fitina
fitina
kazini
Ubishi
na
kiburi
utaishia
pabaya
Hujafa
hujaumbika
punguza
majivuno
Hakuna
bingwa
wa
upumbavu
Fikiria
kabla
ya
kutenda
Ishi
na
ndugu
rafiki
kwa
wema
Ishi
na
jamii
vizuri (
Chorus)
Endelea
kutende
mema
ooh
ooh
Usingoje
kupongezwa
ooh
ooh
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee
Endelea
kutende
mema
ooh
ooh
Usingoje
kupongezwa
ooh
ooh
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee
Usilazimishe
Wala
usiwaze
Rafiki
wa
kweli
utaona
kwa
matendo
Kila
siku
piga
Dua
Epukana
na
husda
za
binadamu
Sio
kila
mlango
utakaribishwa
Kuwa
makini
na
msiri
wako
Hadui
mkubwa
duniani
ni
anaye
kufahamu
vizuri
Badili
kuyasema
ya
ndani
Hadui
mkubwa
hakosi
kukujulia
hali
oooh (
Chorus)
Endelea
kutende
mema
ooh
ooh
Usingoje
kupongezwa
ooh
ooh
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee
Endelea
kutende
mema
ooh
ooh
Usingoje
kupongezwa
ooh
ooh
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee
Baraka
ni
kwa
Mungu
pekee
Woololo....
oooh