A song made by josephlaizer689
A song made by josephlaizer689
Nalikuwa Mtoto Chini Ya Malezi
Kisha Ujana Ukanifikia Mimi
Nikasema, Moyoni Haya
niondoke Sasa nizunguke mjini
Nalikuwa Mtoto Chini Ya Malezi
Kisha Ujana Ukanifikia Mimi
Nikasema, Moyoni Haya
niondoke Sasa nizunguke mjini
Lakini YESU Ni Mwaminifu
Alinipa Mwongozo Ili Niweze mpata
Nikasimama Katika njia zake
na viwanjani
Nimtafute mpendwa wa nafsi yangu. Nikamtafuta, nisimpate.
Wala Sikumwona Kabisa
Nikasimama Katika njia zake
na viwanjani
Nimtafute mpendwa wa nafsi yangu. Nikamtafuta, nisimpate.
Wala Sikumwona Kabisa
Lakini YESU Ni Mwaminifu
Alinipa Mwongozo Ili Niweze mpata
Walinzi wazungukao mjini
waliponiona walinishangaa
Nami Nikawauliza.
Je! Mmemwona mpendwa wa nafsi yangu?
Walinzi wazungukao mjini
waliponiona walinishangaa
Nami Nikawauliza.
Je! Mmemwona mpendwa wa nafsi yangu?
Lakini YESU Kwa Kuwa Ni Mwaminifu Alinipa Mwongozo Ili Niweze mpata
Na Wao Wakanijibu Hatukumuona Kabisa Moyo Nikajipa Siku Moja
Nitamwona Wangu Wa Moyo
Na Wao Wakanijibu Hatukumuona Kabisa Moyo Nikajipa Siku Moja
Nitamwona Wangu Wa Moyo
Lakini YESU Kwa Kuwa Ni Mwaminifu Alinipa Mwongozo Ili Niweze mpata
Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, Nikamwona mpendwa wa nafsi yangu;
Nikamshika, nisimwache tena,
Lakini YESU Kwa Kuwa Ni Mwaminifu Alinipa Mwongozo Ili Niweze mpata
Hata nilipomleta nyumbani mwangu Kisha mamangu, Chumbani mwake aliyenizaa Akafurahi Kumwona Mwali Wake.
Hata nilipomleta nyumbani mwangu Kisha mamangu, Chumbani mwake aliyenizaa Akafurahi Kumwona Mwali Wake.
Lakini YESU Kwa Kuwa Ni Mwaminifu Alinipa Mwongozo Ili Niweze mpata
Kisha Akanisifu Kwamba Nimejua Kuchagua Katikati Ya Mabinti Wengi Nalimwona Wa Pekee Yake
Nami Moyo Nimetulizwa Kabisa
Kisha Akanisifu Kwamba Nimejua Kuchagua Katikati Ya Mabinti Wengi Nalimwona Wa Pekee Yake
Nami Moyo Nimetulizwa Kabisa
Lakini YESU Kwa Kuwa Ni Mwaminifu Alinipa Mwongozo Ili Niweze mpata
JJ FAMILY WE LOVE YOU