A song made by dolasvibes
A song made by dolasvibes
Yeah, yeah
Hakuna kupumzika, let's go
Mara kwa mara shep wanashangaa najiingiza kwenye mziki
Kitamini mambo ni vip, sihitaji ushauri niko fit
Najua nimechelewa ila naifanya kwa dhati
Ciudhiki navuta heri, niko kwenye safari
Najua ipo siku mziki utanipa tu rizki
Ndio maana nachimba kila usiku na mchana kwa bidii
Wanasema naigiza, msishangae nawakimbiza kwa kasi
Mimi sio mchezo, niko serious naelekea juu kwa nguvu za asili
Hakuna siku ya kupumzika, kila daily akili naichosha
Nachimba, nachimba, hadi mziki unipatia pesa
Sihitaji hata kikosi, mi alone am stronger
Ukijileta vibaya utashangaa nimekugonga, yeah
Wengine wanaongea tu, mimi niko kwenye action
Kila beat ninaingia niko na passion
Wanasema ni mchezo, lakini mimi ni champion
Kwenye studio nachoma, lyrics ni weapon
Nimechoka na kelele za watu wanaodoubt
Najua njia yangu, siwezi kurudi out
Mziki ni ndoto yangu, hakuna kitu kitanizuia
Kila verse ninaiandika, niko tayari kufika juu bila kulia
Hakuna siku ya kupumzika, kila daily akili naichosha
Nachimba, nachimba, hadi mziki unipatia pesa
Sihitaji hata kikosi, mi alone am stronger
Ukijileta vibaya utashangaa nimekugonga, yeah
Mziki wangu rizki, no cap
Nachimba bila kusita, that's facts
Yeah, yeah, let's go