Frobits
🎵 A song made on Frobits

Debout Afrique (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

[male vocals] Afrika,

Afrika,

mama

yetu

Tazama

jua

linachomoza,

lakini

kivuli

bado

kirefu

Tunahitaji

mwanga,

tunahitaji

umoja

Eeh,

sikilizeni

sauti

ya

wazalendo

Kwanini

sisi

wa

Afrika

tunazidi

pitia

mateso?

Kila

uchao

jua

linawaka,

tumefungwa

na

maswali

Kwanini

iwe

sisi?

Viongozi

wameshindwa

nini?

Kila

mahali

maisha

inazidi

kuwa

magumu

kwetu

Vijana

hawana

kazi,

matumaini

yanapotea

Tunaishia

barabarani,

tukitafuta

njia

ya

kwenda

mbali

Tunakimbilia

Ulaya,

tunaishia

baharini

Tunafariki

kabla

hatujafika,

nani

atatutetea?

Afrika,

Afrika,

sisi

ni

wamoja

Tuungane

mkono

kwa

mkono,

tuibebe

Afrika

Ni

mali

yetu,

ni

nguvu

yetu,

ni

mustakabali

wetu

Afrika,

Afrika,

simama

imara

Fungua

macho,

ona

thamani

ya

ardhi

yako

Afrika,

mama

yetu,

tunakupenda

Lumumba,

Gaddafi,

Kwame

Nkrumah,

muko

wapi?

Sundiata

Keita,

Kenyatta,

Mwalimu

Nyerere,

Thomas

Sankara

Mbona

yale

mliyopigania

hadi

sasa

ni

matatizo?

Ndoto

zenu

zimepotea

kwenye

dimbwi

la

ufisadi

Vijana

wetu

wanataabika,

elimu

haina

ajira

Sauti

zenu

zilituita

tujikomboe

wenyewe

Lakini

leo

tunazama

kwenye

bahari

ya

majuto

Amkeni

viongozi,

angalieni

maumivu

ya

watu

Afrika,

Afrika,

sisi

ni

wamoja

Tuungane

mkono

kwa

mkono,

tuibebe

Afrika

Ni

mali

yetu,

ni

nguvu

yetu,

ni

mustakabali

wetu

Afrika,

Afrika,

simama

imara

Fungua

macho,

ona

thamani

ya

ardhi

yako

Afrika,

mama

yetu,

tunakupenda

Si

wakati

wa

kulaumiana,

ni

wakati

wa

kujenga

Afrika

inatuhitaji,

Afrika

inaita

majina

yetu

Tuweke

tofauti

pembeni,

tuwe

kitu

kimoja

Kama

mbegu

moja

ardhini,

itakayoota

kuwa

msitu

Tunajenga

kesho

bora,

kwa

ajili

ya

watoto

wetu

Afrika,

nchi

ya

ahadi,

amka

sasa

Afrika,

Afrika,

sisi

ni

wamoja

Tuungane

mkono

kwa

mkono,

tuibebe

Afrika

Ni

mali

yetu,

ni

nguvu

yetu,

ni

mustakabali

wetu

Afrika,

Afrika,

simama

imara

Fungua

macho,

ona

thamani

ya

ardhi

yako

Afrika,

mama

yetu,

tunakupenda

Afrika

yetu,

damu

yetu,

moyo

wetu

Tuungane,

tuamke,

tujikomboe

Eh,

eh,

Afrika

Tunakupenda,

Afrika

Tutashinda,

Afrika

Umoja

ni

nguvu

Afrika,

Afrika.

More songs by Shukuru Listen to songs created by others
FROBITS