(Mmm,
yeah)
Imvolatha,
wewe
pekee (
Oh,
baby)
Ahadi
ya
kukupenda
kwangu
haitokuwa
na
mwisho
Kama
binadamu
mwili
utabadirika
nijuavyo
Ila
sintoacha
moyo
wangu
ubadirike
kamwe
Umekuwa
pumzi
yangu,
kimbilio
langu
la
kweli (
Come
here,
baby)
Imvolatha,
ungavu
wa
jicho
lako
la
huba
Tabasamu
lako
lenye
bashasha,
linaniteka
Kadili
vinavyodumu,
ndivyo
unavyozidi
kubembeleza
Upendo
wangu
kwako,
hauna
mipaka
tena
Tafadhari
endelea
kunitazama
bila
kukoma
Ili
moyo
wangu
uendelee
kupata
utulivu
Sina
pa
kwenda,
wala
wa
kumkaribisha
tena
Vyumba
vya
moyo
wangu
vimejazwa
harufu
yako
Imvolatha,
ungavu
wa
jicho
lako
la
huba
Tabasamu
lako
lenye
bashasha,
linaniteka
Kadili
vinavyodumu,
ndivyo
unavyozidi
kubembeleza
Upendo
wangu
kwako,
hauna
mipaka
tena
Je,
niyachafue
au
niyafute
haya
mapenzi?
Ili
nipate
teso
la
kuyatafuta
yalipo?
Hapana,
sitothubutu,
maana
wewe
ni
wa
thamani
Haukuwa
wa
kwanza
ni
kweli,
ila
sasa
wewe
ni
wa
mwisho (
Yeah,
you're
the
one,
mmm)
Kila
sekunde,
kila
pumzi,
ni
yako
tu
Imvolatha
Umejenga
himaya
moyoni,
umefunga
milango
yote
Sihitaji
mwingine,
maana
wewe
ni
kamilifu
Upendo
wetu
ni
siri,
ni
nuru
inayoangaza
Imvolatha,
ungavu
wa
jicho
lako
la
huba
Tabasamu
lako
lenye
bashasha,
linaniteka
Kadili
vinavyodumu,
ndivyo
unavyozidi
kubembeleza
Upendo
wangu
kwako,
hauna
mipaka
tena
Hauna
mipaka,
Imvolatha (
I
need
you,
baby)
Ni
wewe
wa
mwisho (
Mmm,
yeah,
daima)
Sintoacha
moyo
wangu
ubadirike