Ondoka,
Ondoka
sasa
Nuru
imekujia,
yeah
Ondoka
uangaze,
wakati
umefika
Unabii
umekwisha
tabiri,
njia
imefunguka
Ondoka
uangaze,
utajiri
umekwisha
wasili
Nuru
imekwisha
kujilia,
utukufu
umekuzukia
Unangoja
nini
wewe
baba,
unangoja
nini
wewe
mama
Uhai
wake
umepokea,
sasa
twende
mbele
Ondoka
uangaze,
wewe
ni
mshindi
Zaidi
ya
mshindi,
katika
Bwana
Yesu
Ondoka
uangaze,
jeshi
kubwa
limeinuka
Roho
ameshajaa,
hakuna
kitakachokuzuia
Makaburi
yamefunuliwa,
mauti
imeshaondolewa
Mifupa
mikavu
imeishi,
pumzi
ya
uhai
imeingia
Nayo
imekua
jeshi
kubwa,
inuka
sasa
na
uangaze
Mataifa
yote
yanakusubiria,
baraka
zinatiririka
Inuka
sasa,
inuka
sasa,
jina
lako
ni
mshindi
Ondoka
uangaze,
wewe
ni
mshindi
Zaidi
ya
mshindi,
katika
Bwana
Yesu
Ondoka
uangaze,
jeshi
kubwa
limeinuka
Roho
ameshajaa,
hakuna
kitakachokuzuia
Hebu
kiri,
ninapokea,
ninapokea
Mimi
niko
juu
wala
siko
chini
Mimi
ni
wa
kwanza
wala
si
wa
mwisho
Mimi
nimeponywa
wala
sina
magonjwa
Nimebarikiwa,
rise
up,
utukufu
ni
wako
Fungua
macho
yako,
ona
neema
inatiririka
Hakuna
kilio
tena,
furaha
imetawala
Ondoka
uangaze,
nyota
yako
inang'aa
Kama
mlima
usiotikisika,
wewe
ni
imara
Easy
now,
safari
inaendelea
kwa
ushindi
Ondoka
uangaze,
wewe
ni
mshindi
Zaidi
ya
mshindi,
katika
Bwana
Yesu
Ondoka
uangaze,
jeshi
kubwa
limeinuka
Roho
ameshajaa,
hakuna
kitakachokuzuia
Ondoka,
uangaze,
ni
wakati
wako
Ondoka,
uangaze,
jina
lako
ni
mshindi
Chosen
one,
mshindi
wa
kweli
Yeah,
inuka
sasa,
uangaze
milele