sijasahau ,
sijasahau
na
sitosahaaauuu
sijasahau ,
sijasahau
na
sitosahaaauuu
maumivu
nimengi ,
tunapita
kwa
kila
namna
unaweza
sahau
msingi
lakini
hisia
zikasomana
hatua
ya
kweli
inaongozwa
na
maumivu
ya
moyo
sili
mfupa
sili
nyama
me
kibogoooyo
aahhh
aahhh
naikumbuka
vyema
ile
siku
ya
show
ukumbi
wa
starehe
ukijaa
watoto
kibaaao
lkn
wote
ndani
walikuwa
na
watu
wao
aliyekosa
ni
mimi
wakwangu
alishindwa
toka
kwao
ikapita
masaa
kibao
shauku
ya
kuwa
pale
na
wanangu
ikaniisha
naaga
kwa
huzuni
naita
tax
kukodisha
aloon
mwamba
nahitimisha
majira
utulivu
ziro
sina
furaha
wala
sina
hasira
nasogea
sogea
pembeni
kilichotokea
sikuamini
wangu
mwandani
kakumbatwa
na
wake
wa
zamani
alikuwa
salminanajiita
kambi
salumin
namuuliza
hii
ni
nini
akanijibu
subir
kwanza
kwani
nini
namshika
kwanguvu
anatema
cheche
mdomoni
ulikuja
nanani
uondoke
namimi
we
namnagan
ooohh
NASHINDWA.
KUELEWAAAA
NASKIA
CHUNGU
SANA
MOYOOOONI
sijasahau ,
sijasahau
na
sitosahaaauuu
maumivu
ni
mengi
tunapita
kwa
kila
namna
unaweza
sahau
msingi
lakini
hisia
zikasomana
hatua
ya
kweli
inaongozwa
na
maumivu
ya
moyo
sili
mfupa
sili
nyama
me
kibogoooyo
nikarudi
mdogo
mdogo
nasema
na
moyo
wangu
labda
nilikosea
kitu
kwa
mpenzi
wangu
lkn
hapana
alisema
sio
mtokaji
niende
pekeangu
siamini
nilichokiona
show
ya
sele
afande
imenigawa
moyoni
vipande
vipande
narudi
huku
nalia
machungu
nayoskia
moyoni
naumia
nikiwaza
imani
niliompatia
nikifikiria
muda
niliYo
mvumilia
naongeza
na
gharama
nilizotumia
nashika
kichwa
nalia ,
fikra
kubwa
umri
mdogo
nikasema
mapenzi
niyape
kisogo
kama.
ilivyo
ada
mungu
hamtupi
mja
wake
kila
jambo
huja
na
wakati
wake
muda
kadhaa
mbele
miezi
michache
natoka
zangu
job
nasogea
mitaa
yakati
nasogea
sogea
sokoni
mafinga
kati
safari
iliishia
kati
namuona
dada
mrembo
maji
ya
kati
umbo
lake
sio
tisa
wala
nane
size
yakati
nikasogea
we
dada
salamu
itikia
pole
na
baridi
kali
mbona
umejiinamia
usijari
agiza
hata
chai
itakuasaidiaaa
dada
kajibu
sina
koti
wala
pesa
sina
pia
kama
ntaagiza
chai
basi
ni
deni
la
kujitakia
ooohhh
bas
usijar
me
ntakulipia
kama
haitoshi
chukua
koti
nitanunua
ahsante
mungu
umenifungua
macho
natamani
kuamini
nikionacho
dada
mrembo
sio
tu
kwamacho
lkn
anaraki
ya
kaprikacho
alitwa
sauda
sio
mwenyeji
wa
enea
nae
ni
wakuja
kuuliza
anatoka
wapi
kwao
ifunda
sijasahau ,
sijasahau
na
sitosahaaauuu
maumivu
nimengi ,
tunapita
kwa
kila
namna
unaweza
sahau
msingi
lakini
hisia
zikasomana
hatua
ya
kweli
inaongozwa
na
maumivu
ya
moyo
sili
mfupa
sili
nyama
me
kibogoooyo
picha
linaanza
sauda
unaishi
wapi
daah
sina
maisha
popote
naishi
mimi
nakaa
kwamshkaji
naye
anamshkaji
akija
mshikajai
mimi
ni
mtokaji
nina
ndugu
siko
sawa
nao
wako
busy
pia
na
maisha
yao
mimi.
kama
mimi
naishi
kwa
kudra
za
mungu
nitapokuwa
kesho
sijui
mimi
anayejua
kula
yangu
ni
muumbaji
wangu
mimi
alhamdulillah
nashusha
pumzi
namkumbatia
pole
nyingi
nampatia
sauda
tulia
nitasimama
na
wewe
kila
hatua
kama
hutojar
kwangu
karibia
O,
M,
G
akajibu
kwako
napajua
na
ww
nakujua
unapoishi
unaishi
na
ndugu
zangu
pia
zai
na
halima
ni
ndugu
zangu
unaju
hvyo
sory
suley
kwako
siwez
hamia
lkn
kwa
msaada
tofauti
nitapokea
bas
kwa
force
nikatumia
na
nguvu
nikeongezea
sauda
kwangu
akaahamia
udugu
wao
ukarejea
furaha
ikaendelea
haikupita
muda
salumu
tena
akaingia
boss
akamtumia
sauda
wangu
wakamchukua
nilitamani
kuua
mungu
alinipa
ujasiri
kazi
nikaiachilia
bongo
dizim
jiji
nikahamia
hapo
safari
yangu
kisoka
ikaanzia
mama
aliniuliza
yuko
wapi
sauda
nimemisi
kumsikia
dar
umehamia
mlete
sauda
rujewa
nitakutunzia
sikua
na
jibu
la
kumpa
mama
mola
akujaalie
mahala
pema
mama
sio
juzi
jana
walaa
kesho
sauda
ananijia
akilini
ananiuliza
maswali
nakosa
majibu
namuomba
mola
asimuadhibu
ni
srory
kweli
mengine
siwezi
simulia
mimi
nilipotea
lkn
sauda
alitokomea
maisha
yake
yakazingua
nakumbua
ile
siku
nipo
stand
kuu
mafinga
alikuja
sauda
akiwa
na
mimba
alichotamka
sele
msamaha
nakuomba
sina
jinsi
nimeshindwa
nilikuona
kawaida
kujishika
nikashindwa
mimi
sauda
nalia
nakulialia
wewe
umeenda
sijui
kama.
utanisamehe
mwanangu
ukampenda
akikuita
baba
ukaitika
popote
nitakwenda
kwajili
yako
naumia.
kwajili
yako
nalia
nimeharibu
nimekosea
sio
siri
moyoni
najua
Mola
akujallie
sele
nakuombea
imepita
miaka 7
sauda
alikuja
dar
nilimpokea
kwangu
alifika
huduma
zote
alipata
kusamehe
nilishindwa
lkn
bado
nampenda
sasa
nina
mke
na
watoto
sauda
anaishi
mbali
naomba
mungu
alinde
ndoa
yangu
naomba
mungu
ampe
mume
sauda
ampende
kama
navyompenda
mimi
eyoo
it
a
poisonmaster
uhuru
suley